Wakazi wa kichangani Kisarawe II tumeikosea nini serikali yetu??

Wakazi wa kichangani Kisarawe II tumeikosea nini serikali yetu??

Mzee wa Kisarawe II

New Member
Joined
Jul 12, 2024
Posts
2
Reaction score
3
Wakazi wa Kisarawe II,
Mtaa wa kichangani kwani tumeikosea nini serikali?
Tumejichanga na kupata kiasi cha fedha ili kutengeneza barabara yetu ya mtaa Ila serikali ni kama haioni vile.
Tumeomba kifusi kutoka kwa mkandarasi anayejenga barabara ya Kibada Mwasonga nacho tumenyimwa lengo ni mpaka mama wajawazito waje washindwe kupata Huduma ndio mtusaidie??
 
Back
Top Bottom