KERO Wakazi wa Kijiji cha Lipwidi waendelea kuhangaika na changamoto ya Maji licha ya maombi ya miaka kwa mamlaka husika

KERO Wakazi wa Kijiji cha Lipwidi waendelea kuhangaika na changamoto ya Maji licha ya maombi ya miaka kwa mamlaka husika

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Wakazi wa Kijiji cha Lipwidi katika halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakiwaomba viongozi wao ngazi ya kata na wilaya kuwasaidia kutatua changamoto ya ukosefu wa huduma ya maji katika Kijiji chao lakini hawasaidiwi,

Aidha wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassani kuwatatulia kero hiyo kwani imekuwa ikiwatesa kwa miaka mingi.

Soma Pia: Kukosekana kwa huduma ya maji Kibaha - Pangani - Mtakuja kwa miaka minne sasa
 
Back
Top Bottom