Wakazi wa Kijiji cha Lipwidi katika halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakiwaomba viongozi wao ngazi ya kata na wilaya kuwasaidia kutatua changamoto ya ukosefu wa huduma ya maji katika Kijiji chao lakini hawasaidiwi,
Aidha wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassani kuwatatulia kero hiyo kwani imekuwa ikiwatesa kwa miaka mingi.