Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Umaskini Tanzania ni kama ule wa Malawi tu. Sema sisi tumeshauzoeaBaada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli,maji nayo yakafa Kinyerezi,hivi sasa maji yanatoka mara Moja kwa mwezi yakitoka yanakaa masaa matatu yanakatika,maji ambayo hayana hata presha ya kupanda kwenye tanki yanatoka masaa matatu na kukatika, solution watu wameamua wachimbe visima na kuachana na maji ya Dawasa.
Mkuu ongeza picha basi uzi upate nyamaBaada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli,maji nayo yakafa Kinyerezi.
Hivi sasa maji yanatoka mara Moja kwa mwezi yakitoka yanakaa masaa matatu yanakatika.
Maji ambayo hayana hata presha ya kupanda kwenye tanki yanatoka masaa matatu na kukatika, solution watu wameamua wachimbe visima na kuachana na maji ya Dawasa.
Soma Pia: KERO - Wakazi wa Kinyerezi hatuna maji leo siku ya 3
Some Pia: KERO - Hujuma ya Hudumaya Maji Kinyerezi - Kifuru kutoka Dawasa Kinyerezi
Mbunge wao ni naniBaada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli,maji nayo yakafa Kinyerezi.
Hivi sasa maji yanatoka mara Moja kwa mwezi yakitoka yanakaa masaa matatu yanakatika.
Maji ambayo hayana hata presha ya kupanda kwenye tanki yanatoka masaa matatu na kukatika, solution watu wameamua wachimbe visima na kuachana na maji ya Dawasa.
Soma Pia: KERO - Wakazi wa Kinyerezi hatuna maji leo siku ya 3
Some Pia: KERO - Hujuma ya Huduma ya Maji Kinyerezi - Kifuru kutoka Dawasa Kinyerezi
Dada mmoja hivi Mbunge wa Segerea anabadilishaga badilishaga majina yake ya ubiniMbunge wao ni nani
Huyo atakuwa tapeli tuDada mmoja hivi Mbunge wa Segerea anabadilishaga badilishaga majina yake ya ubini
Dar maji ni tabu tupu. Kuna mtaa huko segerea kisukuru maji yanatoka mara moja.kwa wiki sa7 usiku..imagine mtu uchote.maji sa7 usiku mateso haya. Kabla.ya Magufuli kufariki yalikuwa yanatoka mchana mara 2 kwa wiki.Baada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli,maji nayo yakafa Kinyerezi.
Hivi sasa maji yanatoka mara Moja kwa mwezi yakitoka yanakaa masaa matatu yanakatika.
Maji ambayo hayana hata presha ya kupanda kwenye tanki yanatoka masaa matatu na kukatika, solution watu wameamua wachimbe visima na kuachana na maji ya Dawasa.
Soma Pia: KERO - Wakazi wa Kinyerezi hatuna maji leo siku ya 3
Some Pia: KERO - Hujuma ya Huduma ya Maji Kinyerezi - Kifuru kutoka Dawasa Kinyerezi
Anaitwa Bona sijui nani nani.mkuda tu yule dada hana lolote. Sema corrupt government zinawabeba hawa wabunge wa hovyo hata bungeni sijawahi kumsikia akichangia.hoja ya maanaMbunge wao ni nani
Juzi wamesema tarehe 20 wanakamilisha mradi maji yatakua bwerere.Kuna Tanki kubwa lenye uwezo wa kuhifadhi lita za Maji milioni 9 kwa siku, ambalo linajengwa kwa gharama ya takribani bilioni 34.5 kila siku linajengwa haliishi,