A
Anonymous
Guest
Wakazi wa Kipunguni kata ya Kipawa walifanyiwa tathmini 2022 ili kupisha upanuzi wa Uwaja wa Ndege wa JKIAP na zoezi kwenda vizuri lakini fidia zao zimekuwa kizingumkuti toka 2022, na Waziri wa fedha alikuja 2023 akasema wataanza kulipa mwezi wa nane au wa tisa 2023 lakini mpaka sasa hawajalipa na Serikali ipo kimya na maisha ya wakazi wa Kipunguni yanazidi kuwa shida.