johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani atafanya nini kipya? Ataleta umeme utoke wapi? Atazuia mitambo isiharibike? Acha ujingaNiko Hapa Sea Boys Magomeni mapipa na kuna mjadala unaendelea baada ya Umeme kukatika
Wakazi wa mitaa hii wanamuona Makonda kama mtu anayeweza kuzungumza Matatizo na kero zao Bila woga
Mzee Idris anasema kwa sasa katika Wanaccm wote Makonda Ndiye angefaa kuwa Waziri wa Nishati na hii katika katika ya Umeme kwa Ujanjaujanja wa wapiga dili angeikomesha
Mjadala unaendelea tuko na Makamanda wa Chadema pia hii nchi ni yetu sote 😀
Huu mgao wa umeme unasababishwa na ujanja ujanja tu kama mleta mada alivyosema.Kwani atafanya nini kipya? Ataleta umeme utoke wapi? Atazuia mitambo isiharibike? Acha ujinga
Ujanja ujanja upi? Mbona hamuombi kazi hizo mteuliwe then mkomeshe?Huu mgao wa umeme unasababishwa na ujanja ujanja tu kama mleta mada alivyosema.
Visingizio vyote walivyotoa wameumbuka, kuanzia matengenezo ya mitambo mpaka ukosefu wa mvua, tatizo ni udhaifu wa Samia unayemsifia kila siku, kama angeamua kuwa serious na nafasi yake aache kuendeshwa na wafanyabiashara, tungekuwa pazuri sana.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Acha ujinga huwezi kuona kuwa wote Hawa ni hujuma tu za upigaji.Niko Hapa Sea Boys Magomeni mapipa na kuna mjadala unaendelea baada ya Umeme kukatika
Wakazi wa mitaa hii wanamuona Makonda kama mtu anayeweza kuzungumza Matatizo na kero zao Bila woga
Mzee Idris anasema kwa sasa katika Wanaccm wote Makonda Ndiye angefaa kuwa Waziri wa Nishati na hii katika katika ya Umeme kwa Ujanjaujanja wa wapiga dili angeikomesha
Mjadala unaendelea tuko na Makamanda wa Chadema pia hii nchi ni yetu sote [emoji3]
Nyie ndio mnaopoteza heshima ya JF.Niko Hapa Sea Boys Magomeni mapipa na kuna mjadala unaendelea baada ya Umeme kukatika