Nimeskia wakazi wa Mbeya vijijini wameandamana hadi Mbeya mjini kudai kuwa Mgombea ubunge wa CCM ambaye ametangazwa kuwa ni mshindi Hajashinda kihalali na FFU wanawatawanya kwa mabomu ya machozi.
Ikumbukwe: Vurugu za jana za mbeya ziliwahusu wananchi wa Mbeya mjini hizi za leo zinawahusu wa Mbeya vijijini ambao wameandamana hadi mbeya mjini.
Wadau mliopo Mbeya please, taarifa zaidi.