Wakazi wa Mbeya wafika nyumbani kwa Joseph Mbilinyi A.K.A Sugu kumpa pole

Wakazi wa Mbeya wafika nyumbani kwa Joseph Mbilinyi A.K.A Sugu kumpa pole

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Wakaazi wa Mbeya wafika nyumbani kwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa ya CHADEMA kumjulia hali baada ya kurejea kutoka Dar es Salaam

View: https://m.youtube.com/watch?v=2wVM_yYq-AU

ambapo alipelekwa chini ya escort ya polisi baada ya askari hao kumpiga vibaya kiongozi huyo mwandamizi wa CHADEMA aliyekuwa ktk matayarisho ya kuadhimisha siku ya Vijana Duniani ambayo CHADEMA ilikuwa imepanga kufanyika kitaifa mjini Mbeya...

Wazee wa CHADEMA mjini Mbeya nao wafika nyumbani kwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa CHADEMA na kutoa neno zito baada ya kumuona Joseph Mbilinyi...
 
Mamluki hawakuwemo kwenye msafara!!
 
WanaMbeya watoa kauli nzito dhidi ya chama dola kongwe kutegemea mbeleko ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=N2RMyiksikE

Hii ni baada ya jeshi la Polisi kutumika nchi nzima kuelekea Siku Ya Vijana Duniani iliyokuwa imepangwa kufanyika na CHADEMA kwa vijana kitaifa mjini Mbeya na kupelekea mamia kutiwa nguvuni kwa kipigo, kupigwa shoti ya umeme kwa kutumia vifaa maalum n.k ...

Lakini wanaMbeya wasema mateso na dhuluma hiyo imewaimarisha kuelekea 2024 na 2025 kutoa upinzani mkali ili kuzoa uongozi kuanzia ngazi ya mitaa, vijiji kisha baadaye majimbo ya ubunge na urais ikiwa uchaguzi utakuwa ni wa huru na ulio wa haki ...
 
Mbeya, Tanzania

CCM WAMEHARIBU SIFA NA TASWIRA ZILIZOBEBWA NA MABANGO YA MARIDHIANO

View: https://m.youtube.com/watch?v=R_to1EUvniQ

Vijana wasema hila za mabago kuwalaghai wahisani na wadau wa maendeleo kupitia mgongo wa CHADEMA umevurugwa na CCM kutumia vibaya vyombo vya dola tarehe 11 Agosti 2024 nchi nzima kutekwa na polisi kuminya demokrasia na mchakato mzima kuelekea 2024 / 2025
 
Madhila yote yaliyofanyika siku za nyuma bado hauajazikwa, hivyo chama dola kongwe kitambue hakuna kitachosaulika kama CCM inadhani hivyo.

" The past is never dead. It's not even past" - William Faulkner
 
Nguvu ya umma imeongezewa Uwezo, sababu na nia ya kuiondoa CCM pamoja na hali ngumu ya maisha n k zinazidi kuipa ari kanda ya Nyasa, safari hii kukingoa chama kongwe dola.
 
Masikini bhana! hivi bia ya buku jero ndio rushwa ya kupata cheo hiyo?
Ndio ujue chadema mlivyo wa hovyo yaani mtu anapata cheo kikubwa cha kikanda kwa hongo ya bia sasa vyeo vya chini huko si kutakuwa kumeoza?
 
Back
Top Bottom