Sangizi JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 1,942 Reaction score 4,230 Aug 19, 2024 #21 kyagata said: Mzee Sugu aache utoto..keshazeeka Click to expand... Kijiji bila wazee ni ukosefu wa maadili
kyagata said: Mzee Sugu aache utoto..keshazeeka Click to expand... Kijiji bila wazee ni ukosefu wa maadili
Autonomius Avatar Member Joined Dec 2, 2022 Posts 15 Reaction score 16 Aug 19, 2024 #22 much know said: Ndio ujue chadema mlivyo wa hovyo yaani mtu anapata cheo kikubwa cha kikanda kwa hongo ya bia sasa vyeo vya chini huko si kutakuwa kumeoza? Click to expand... Acha upumbavu CDM sio ccm wakuhongwa vitisheti na vikofia vya ovyo na kuuza kura
much know said: Ndio ujue chadema mlivyo wa hovyo yaani mtu anapata cheo kikubwa cha kikanda kwa hongo ya bia sasa vyeo vya chini huko si kutakuwa kumeoza? Click to expand... Acha upumbavu CDM sio ccm wakuhongwa vitisheti na vikofia vya ovyo na kuuza kura
much know JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 11,461 Reaction score 17,183 Aug 19, 2024 #23 Autonomius Avatar said: Acha upumbavu CDM sio ccm wakuhongwa vitisheti na vikofia vya ovyo na kuuza kura Click to expand... Sawa ila ndio hivyo Mrema aligongwa kreti 6 za bia
Autonomius Avatar said: Acha upumbavu CDM sio ccm wakuhongwa vitisheti na vikofia vya ovyo na kuuza kura Click to expand... Sawa ila ndio hivyo Mrema aligongwa kreti 6 za bia