Dar ni jina tu, maisha ya wakazi wake 90% ni ya hovyo sana.Pamoja na hayo yote ila wakazi wa Mbeya wanatamani,wanashauku kuja Dar.
Maendeleo gani mkuu kama mzunguko wa hela upo watu wanakosaje maendeleo?au unadhani maendeleo ni kuvaa vimini na vipedo au tuwe kama wamakonde na watu wapwani walioipuuza lugha yao?Mbeya ni kijiji tu kilichochangamka...
Mbeya hela ipo na mzunguko upo tatizo watu wake bado hawajaendelea sijui shida ni nini..
Mbeya kipind hiki hakuna baridi ila vumbi lake sio poa.Naitaji mwenyej nije dar mbeya baridi kaliii
Lile joto na mbu kwa kweli vinanishinda.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vipi hao mbu wa Dar jombaa. Dar hao mbu walishawashinda kuwaondoa. Mtu analala ndani ya nyavu
Maendeleo gani mkuu kama mzunguko wa hela upo watu wanakosaje maendeleo?au unadhani maendeleo ni kuvaa vimini na vipedo au tuwe kama wamakonde na watu wapwani walioipuuza lugha yao?
Imagine hii bahati kwetu mbeya halafu naishi kilimanjaro dar nikipita sikai hata wiki joto, mbu, harufu mbaya kila mahali vinanishindaDar ni jina tu, maisha ya wakazi wake 90% ni ya hovyo sana.
Tatizo ukizoe kuishi Dar unahisi mikoani ni pa hovyo lakini ukweli kwamba mikoani ni patamu ukiwa na pesa.
Arusha
Mbeya
Moro
Kilimanjaro
Hii kwangu ni mikoa bora kuishi hasa kwa hali ya hewa na mandhari yake
Nimeishi Dar tangu utotoni but siku hizi siipendi hata kidogo.Imagine hii bahati kwetu mbeya halafu naishi kilimanjaro dar nikipita sikai hata wiki joto, mbu, harufu mbaya kila mahali vinanishinda
Unayaongelea maeneo gani ya Mbeya yenye makazi duni kuliko Dar?ulipaswa kuishia hiyo mistari miwili ya mwanzo ndio busara halafu ukasubiri majibu..
Mbeya ina mzunguko mzuri wa hela na hela ipo pale mtaani tatizo watu wake bado hawajaendelea....kuendelea ni pamoja na kukaa kwenye makazi bora au kujenga makazi bora..kuendelea ni pamoja na kuwa na ustaraabu usio na imani potofu, kuendelea ni pamoja na watu wengi kuwa na uelewa wa mambo...
Mbeya bado watu wanaishi kwenye makazi duni, Mbeya bado watu wengi wana imani potofu aka ushirikina.... Ukichunguza sana utaelewa ninaposema Mbeya ni kijiji kilichochangamka... tujaribu kujadili maana yangu sio kuwadharau bali ni uhalisia niliouona..
Hayo mambo ya ushirikina mi nayaona huku Dar hasa huku kwenye vi-surbubs utaona mara nazi imevunjwa mara beach watu wanawanga wamechinja mbuzi nk mbn kwetu sisi hatuoni hayo mambo?ulipaswa kuishia hiyo mistari miwili ya mwanzo ndio busara halafu ukasubiri majibu..
Mbeya ina mzunguko mzuri wa hela na hela ipo pale mtaani tatizo watu wake bado hawajaendelea....kuendelea ni pamoja na kukaa kwenye makazi bora au kujenga makazi bora..kuendelea ni pamoja na kuwa na ustaraabu usio na imani potofu, kuendelea ni pamoja na watu wengi kuwa na uelewa wa mambo...
Mbeya bado watu wanaishi kwenye makazi duni, Mbeya bado watu wengi wana imani potofu aka ushirikina.... Ukichunguza sana utaelewa ninaposema Mbeya ni kijiji kilichochangamka... tujaribu kujadili maana yangu sio kuwadharau bali ni uhalisia niliouona..
Ha ha ha !Thupu ya kitimoto?watu wa Mbeya alie waambia muuze supu ya kitimoto ni nani? nilipga supu moja uyole sijui njia ya kwenda tukuyu/kyela sitakaa nirudie mimi
πππmikoa yote tz wana maisha mazuri kuliko dar