winky
Senior Member
- May 8, 2013
- 140
- 111
Yapata miezi 7(saba) sasa tangia taka zitolewe mara ya mwisho Wakazi wa eneo hili la mbezi msakuzi kaskazini ambayo ni kata ya mbezi na wilaya ya ubungo hatujapata huduma hii ya kuzolewa taka.
Licha ya kuwa mara ya mwisho Mtendaji na timu yake walipita kila nyumba na kukusanya shilingi 10,000 na kuhaidi watapita mara 3 lakini cha kusikitisha hawajawahi kurudi ( walipita zaidi ya nyumba 100 na ilikuwa ni lazima usipotoa hawabebi taka)
baada ya kufatlia ofisi ya mwenyekiti wa serikali za mtaa majibu yalikuwa
1.pesa zimeenda halmashauri hawajamlipa mkandarasi so mkandarasi kavunja mkataba
2.mtendaji huyo kafukuzwa kaletwa mwingine
3.tunasubiri halmashauri watoe fungu na kutafuta mkandarasi.
leo ni miezi 7 bado tunasubiri hali ni mbaya taka taka zinatupwa kila kona kila bara bara ni harufu mbaya na mazingira hatarishi saana.
tunaomba mamlaka husika zitusaidie