A
Anonymous
Guest
Yaani kwa mwezi tunaweza kupata maji mara moja, na maji yenyewe yatatoka masaa mawili au chini ya hapo, na pressure inakuwa ndogo sana. Ukiwauliza watu wa DAWASA hawana majibu ya kueleweka.
Lakini maajabu ni kwamba majirani zetu wa Kibwegere maji wanayo 24/7 na pale Kibamba wana point yao ya kuwauzia maji watu wa magari maji huwa hayakatiki hata siku moja.
Sijajua shida ni nini, mbunge wetu anaitwa MTEMVU huwezi kusikia hata amepita mtaani kuulizia suala hili. Waziri wa Maji naye anabaki kusifiwa huko maredioni sijui anawalipa watangazaji au vipi lkn issue ya maji inatutesa sana kwa kweli
Nawaomba kama mtaweza kuwatag mbunge wa Kibamba, Waziri wa Maji na Mh Rais wetu angalau kilio chetu kimfikie maana nahisi tunahujumiwa.