Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 276
- 473
Sisi Wakazi wa Kata ya Mabibo, Mtaa wa Kanuni hapa Dar es Salaam tuna changamoto ya kutokuwa na huduma ya maji kwa muda wa miezi miwili sasa.
Maji hayatoki kabisa huku kwetu na siku yakitoka ni ndani ya nusu saa au saa moja, kwa ufupi yakitoka hayawezi kuendelea muda mrefu yanakatika tena.
Sijui huwa wanayafunga? Ajabu ni kuwa mitaa ya jirani maji yapo, so watufungulie maji, viongozi wa mtaa wakiulizwa wanadai wanafuatilia ila hakuna mabadiliko yoyote.
Mamlaka za maji ikiwemo Wizara ya Maji na Waziri Aweso naomba sikia kilio chetu.