Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 276
- 473
acheni uzembe, shida kubwa hivyo na mpo kimya , why hamwanamani hata siku moja mkafunga barabaraSisi Wakazi wa Kata ya Mabibo, Mtaa wa Kanuni hapa Dar es Salaam tuna changamoto ya kutokuwa na huduma ya maji kwa muda wa miezi miwili sasa...
Vp walienda wote kwa Biden au walipigia hukuhukuAweso yupo busy kupiga picha na diamond😃
Mitano tena kwa MamaSisi Wakazi wa Kata ya Mabibo, Mtaa wa Kanuni hapa Dar es Salaam tuna changamoto ya kutokuwa na huduma ya maji kwa muda wa miezi miwili sasa.
Maji hayatoki kabisa huku kwetu na siku yakitoka ni ndani ya nusu saa au saa moja, kwa ufupi yakitoka hayawezi kuendelea muda mrefu yanakatika tena.
Sijui huwa wanayafunga? Ajabu ni kuwa mitaa ya jirani maji yapo, so watufungulie maji, viongozi wa mtaa wakiulizwa wanadai wanafuatilia ila hakuna mabadiliko yoyote.
Mamlaka za maji ikiwemo Wizara ya Maji na Waziri Aweso naomba sikia kilio chetu.
HahahaTunamshukuru mama ameifungua nchi, mitano tena kwa mama.
Kijani imewashwaaaaa.Tunamshukuru mama ameifungua nchi, mitano tena kwa mama.
Kipimo chake huu uchaguzi unaokuja ndiyo mtajijua mnaakili au hamnaakiliSisi Wakazi wa Kata ya Mabibo, Mtaa wa Kanuni hapa Dar es Salaam tuna changamoto ya kutokuwa na huduma ya maji kwa muda wa miezi miwili sasa.
Maji hayatoki kabisa huku kwetu na siku yakitoka ni ndani ya nusu saa au saa moja, kwa ufupi yakitoka hayawezi kuendelea muda mrefu yanakatika tena.
Sijui huwa wanayafunga? Ajabu ni kuwa mitaa ya jirani maji yapo, so watufungulie maji, viongozi wa mtaa wakiulizwa wanadai wanafuatilia ila hakuna mabadiliko yoyote.
Mamlaka za maji ikiwemo Wizara ya Maji na Waziri Aweso naomba sikia kilio chetu.
uchaguzi unakuja mkifanya kosa imekula kwenuSisi tangu december maji tumepata Mara 4
Hata kura zenyewe sizan kama ntapiga...uchaguzi unakuja mkifanya kosa imekula kwenu
Wakipewa vitenge na flana wanasahauuchaguzi unakuja mkifanya kosa imekula kwenu
Mchagueni mbunge wa CCM mpate maji acheni kulalamika.Sisi Wakazi wa Kata ya Mabibo, Mtaa wa Kanuni hapa Dar es Salaam tuna changamoto ya kutokuwa na huduma ya maji kwa muda wa miezi miwili sasa.