A
Anonymous
Guest
Wakazi wa mtaa Mwarakani wanakumbana na changamoto ya maji kwani hudumu hiyo haijafikishwa kwenye makazi yao licha ya kuhangaika kusogeza huduma hiyo bila mafanikio kwenye maeneo yao.
Mamlaka husika zitusaidie kusogeza maji wananchi wako tayari kuchangia kusogezwa huduma hiyo.
Mamlaka husika zitusaidie kusogeza maji wananchi wako tayari kuchangia kusogezwa huduma hiyo.