Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Kwa muda sasa katika maeneo ya Tegeta Azania (Kwenye Nyaya za Umeme wa Zanzibar) pamekuwepo na shida ya maji. DAWASA hamjatoa taarifa yoyote. Ingependeza sana kama mnaweza kutoa taarifa nini tatizo.
Sasa taarifa hamtoi na huku Wananchi ambao ni wateja wenu tunateseka bila kujua tunapataje Msaada
Mna namba zetu za simu kwa nini msitoe taarifa? Inachukua muda gani kufoward ujumbe ili watu wachukue tahadhari
Ni nini kazi ya kurasa zenu za Mitandao ya kijamii kama hamtozitumia kwa kutoa taarifa muhimu kama hizo kwa Umma. Kama kwa mfano mnataka kukata maji Siku fulani, kuna ugumu gani wa kupost tangazo siku hata 3 mfululizo ili watu washare kwenye groups zao?
Kuandaa taarifa na kutochukua hatua madhubuti za kuisambaza ili Wateja hata 70% iwafikie ni sawa na bure. Hiyo taarifa haina msaada wowote kwa Wateja wenu
Wajalini wateja wenu jamani