we fiesta ndio umeona show za kibabe??wakati cku hzi ndio imekuwa ya kuwatambulisha ma underground!! Mwaka jna umemuona diamond au kiba kweny hyo fiestaWakazi hata fiesta hajawahi kupanda..big brother show za kike
Hit song ni nini?kupigwa sana kwenye radio sio kuwa na maana wewe umetengeneza hit song.kuna dogo anaitwa edo boy naye anapigwa pigwa sana redioni ila kama ushawahi kusikiliza mashairi yake yule hawezi kufikia hata kwa zilla wala wakazi ila ndio vile tena.ejaribu kufuatilia hili bifu kati ya msani wa Hip hop GodZilla kutokea sala sala dhidi ya msanii anayejiita wakazi
kiukweli nilichokibaini katika sakata hili ni kwamba huyu Wakazi anatafuta pa kutokea kwani jamaa ameimba kwa muda kidogo lakini hana jina wala mafanikio yoyote kutokana na muziki wake!
nimejaribu kufuatilua nione uwezo wake kimuzi, kiukweli jamaa anajikuza saaana na kwa Kingzilla ameparamia tu apate pa kutokea!
huyu jamaa hana hit song ambayo anaweza jivunia tangu aanze game, lakini anajikuta saana wakati hata akisimama na Harmorapa KO itamuhusu!
Godzilla ni bongo hip hop star, nimemfaham na kumskiliza kitambo kidogo na ngoma zake kali zoteee kama Kingzila, sala sala, Milele, kila wakati, illuminat, nataka, na yingine nyiiiiiiiingi tu
but kwa sasa ni Power tu ndio habari yao!
wakazi wacha maneno na dis za kijinga, jikite zaidi kwenye kazi ukuze mziki wako maana huku kitaani watu ndio wanaanza kuuliza ni nani huyu anamsumbua king zi, so hata kazi zako hazisikiki wala hazifahamiki!
hii kiki itaendelea kukuzamisha kama ulivyozamishwa na ile kiki uliyoitafuta kwa Nikki mbishi na ukapuuzwa
Ule wimbo wa Saida sio mkali kihivyo lakini.....Hit song ni nini?kupigwa sana kwenye radio sio kuwa na maana wewe umetengeneza hit song.kuna dogo anaitwa edo boy naye anapigwa pigwa sana redioni ila kama ushawahi kusikiliza mashairi yake yule hawezi kufikia hata kwa zilla wala wakazi ila ndio vile tena.
Hip pop ni majigambo lazima kila mtu ajigambe kujiona yeye bora...harmorapa alisema atafika level za kina fid q ([emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]).wakazi anapiga show zake mwenyewe, anauza mixtape zake, album inakuja soon...na anauza fresh tu magari,anaendesha maisha, anajenga,sasa sijui mafanikio ya kupigwa kwenye radio unaongelea au ni mafanikio yapi.
Bongo unaweza ukawa na hit song kibao ila mifukoni hamna kitu maana watu wanakunyonya kukuaminisha unatoboa na kutuaminisha wasikilizaji kuwa nyimbo ni nzuri kwa sababu inaruduwa nyimbo hiyo hiyo
Nakupa assignment::sikiliza clouds kesho alafu niambie nyimbo ya saida inapigwa mara ngapi kwa siku (saa 12 asubuhi mpaka saa 4 usiku) ni kama mara 5 au zaidi.....tunaaminishwa ni wimbo bora sana...ila wana mkakati wa kumrudisha kwenye chati so watampiga sana.....hit song sio kupigwa sana radio moja .....tafuta mixtape ya mtikila utabadilisha maono yako juu ya wakazi
sawa mkuuwakazi ni international bro.nimeanza kumjua wakazi tangu anafanya rap marekani!!amekaa uko zaidi ya miaka 10,ameshaimba hadi kwenye matamasha ya big brother south africa,anajulikana sana nje kuliko hpa maana yeye mara nyingi anaghani kwa kiingereza!!!bongo hakujikita sana ndio nw anaanza kujikita!!husimsemee mtu kama haujui profile yake bro.
Group Admin. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakazi ndio nani??
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sele alimmalizaGroup Admin. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
cc: Afande sele
picha sio kazi!
aimbe tumskie sio kwa bifu kama izo
Katibu wa CCM kibitiWakazi ndio nani??