I'll send 1 4 u! Tuone kama utairejesha...! lol!
Ah ah ah sawa mkuu, nimikupata. Ila ukiwa tayari usisite, itakuja kwa DHL.Mkuu Nashukuru ila nikiihitaji nitakujulisha, usiitume kwanza..
Hii kitu inaweza kukupasua kichwa ati!
Si unaona mwenyewe jinsi jamaa anavyougulia maumivu?
Hii saa kiboko! Haina mchezo. Inambonda jamaa kabisa! Mi naiogopa.Hiyo hata ukinipa bure sichukui... Kha!