Wake wa kwanza jamani…………..

Wanaume wakishapata mafanikio baada ya kusota sana na wake zao, ndio wanatafuta sasa wa ku spend nae, na mke wa ndo ndio hapo anasahalika

<br / Mke anaonekana amezoea dagaa la chukuchuku anatafuta wa kwenda kuchoma nae nyama. Inauma sana kwa kweli.

kwanini kila kitu kwenye ndoa kinakuwa defined na mali/pesa?

kwanini kila kitu kwenye ndoa kinakuwa defined na mali/pesa?

kwa vile hakuna mapenzi ... wengi wanaamini mapenzi ni pesa au mali na ukiolewa au kuoa ni kupata mali

MKE WA KWANZA NI MKE TK KWA MUNGU wanaofuata wote wezi tuu.

kwanini kila kitu kwenye ndoa kinakuwa defined na mali/pesa?

Kwa sababu wanaume wengi kipato kinapoongezeka hawataki kutumia na wale waliosota nao bali utafuta wengine wa kutumia.Mambo yakiharibika ndio umtafuta tena yule mzowea shida.

MKE WA KWANZA NI MKE TK KWA MUNGU wanaofuata wote wezi tuu.

Hivi inamaana nikapata mafanikio nitakuwa na nyumba ndogo...!!!!!!!!!!
SIO KWELI!

never say never... muombe mungu akusaidie ndugu!
Hivi inamaana nikapata mafanikio nitakuwa na nyumba ndogo...!!!!!!!!!!

SIO KWELI!

wake wapili ni udhaifu na uchoyo wa fikra za kutotambua nini maana ya mahusiano ya kindoa. inaswihi tu kama huyo mke wa pili anapatikana kisheri kama mke wa kwanza. tunashuriwa kuoan hadi wanne ili tupate kuwasitiri, lakini tuoe kwa uadilifu.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…