Wako ki maslahi zaidi. Ushaona masikini ana kimada???

kwanini kila kitu kwenye ndoa kinakuwa defined na mali/pesa?

Namuaomba Mungu aniepushie mbali na Ibilisi hawa............
wengi tunaangali mke kwa vile anishi na mmewe lkn maendelea yanaweza kuletwa na mwingine na mke akafaidi wakati si mtafutaji

Omba sana,mimi nilishajionea live.Jamaa kabla hajaoa kanisani sana.akishaoa poa tu,mali ikitembelea familia jamaa anakuwa na mahawara anawapangishia nyumba,some time anaaga kasafiri kumbe yupo kwa one of his small houses.PESA HAISHINDWI KITU
Ila pia kuna wanawake wengine wanachangia.kuna dada mmoja wa kichaga mmewe mkurya.YEYE hawapendi ndgu wa mmewe.ikabidi mme atafute small hs.mke akagundua,jibu la mme lilikuwa"uliyataka mwenyewe ulitaka ndugu zangu wafikie wapo"

Sasa kuna uhusiano gani kati ya small house na ndugu. Kwani alishindwa nini kuwatunza ndugu zake bila small house kwa maana ya kuwajengea na kuwapa pesa. Au ndugu zake ni wagonjwa wanataka wa kuwahudumia na si pesa hivyo hiyo small iligeuzwa housegirl/nesi?
Inaelezwa kwamba wake wa kwanza kwa wanaume wengi, ndio wanaochangia kwa kiasi kikubwa mafanikio ya wanaume hao. Na wake wa pili, yaani nyumba ndogo huletwa na mafanikio hayo yaliyoletwa na wake wa kwanza......

Ndugu wakitoka msoma kuja Dar,motherhouse anakuwa mkali tena alikuwa anawatolea mizigo nje.Imagine mme ndo anaona mm yake mzazi anatolewa mabegi nje,NAONA father house akaamua kutafuta shouse kulipiza kwake.FOR HIM IT WAS A RIGHT SOLN.
Kuna family naijua nao wana similar situation. Mke alikuwa na roho mbaya; mume kapata small house ingawa hiyo small house ilikuwa aged kuliko big house na kuna wanaosema ni mkubwa even kuliko mwanaume; basi bwana ni bosi wa level ya juu sana pesa kwake si tatizo kabisa nae ni mtu wa musoma. Alipopata hiyo small tena ilikuwa best friend wa mkewe akaamua kuijengea nyumba (nimeshafika kwa huyo mama ana mpaka dish la DSTV wakati ni secretary) . Ndugu za mume wakija toka Musoma wanafikia kwa hiyo small. Mkewe alikuja kujua cha kufanya akawa hana urafiki na shoga ukafa. Lakini navyoandika hivi small ishaachwa long time nadhani jamaa atakuwa na small mpya maana ni kiwembe si mchezo. Huyo alomjengea ndio alikuwa small kubwa ana vismall kibao ambavyo hajavijengea.
Ni kweli,mnaoana mnaishi chumba kimoja.Mara mnajenga majumba,watoto,magari n.k.Mara mwenzako anaanza kurudi saa saba usiku,mara mahawara.