Wake / Wapenzi (Wa Kike ) wetu na Mavazi

Siyo kama nawakashifu kina mama ila ukweli ni huu: Mnaweza angalia tamthilia pamoja, kitu cha kijinga kwako yeye anaona cha maana na atakuuliza maswali ya hajabu mpaka unashikwa na hasira wakati mmekaa wote na mnaangalia ile tamthilia. Wewe utaona jamaa ana bonge la jumba na ana demu wa nguvu utasikia wivu kuwa na uwezo kama ule hivyo utawaza ufanyeje ili ufanikiwe, yeye atafikiria vitopu, mawigi na viatu vya Beyonce na namna utakavyompa hela akatafute madukani ili ajionyeshe kwa wenzake na mijibaba wengine, yaani basi tu. Nyie kina mama wa utawala wa Kikwete, kweli mna matatizo.
 
Ana matatizo huyo mwanamke wako mwenye akili kama spana number 3!
Wenzie tunaangalia vitopu na hatukosi kuona kasri waliyoigizia!
 
Kunywa maji ya baridi kwanza utulizane, usipende kukurupukia kujibu watu kwa maneno ya kudhania. Soma mistari yangu utaona sijasema mke wangu humo. Kina Mama wengi wako hivi maana washikaji wanalalamika about the same thing juu ya wake zao.
 
Hehehe, kumbe unamuongelea mke wa mshkajio? Anakaa kijiji gani?
Maji yameenda kwao tunakunywa kwa bajeti.
 
Huenda ndo ukawa wewe mke wa rafiki yangu maana naona unajitetea sana. Usife moyo sikujuwi na sitokucheka ila jirekebishe maana jamaa anakuponda sana mitaani, tunabaki kumshangaa kwa nini bado anaishi nawe.
 
Nitajirekebisha, naahidi shemeji. Si unajua mambo ya kung'ang'ania watu waio wa level yetu? Nikishindwa nitasepa nisake wa level yangu. Hapa naelekea ilala kuna top nimeona kwenye tamthilia jana usiku, kuna muuzaji nampelekea picha anitaftie hehehehe.
 
Ha....ha...mnaenda kuona wadudu??....ha...ha...
 
Kunywa maji ya baridi kwanza utulizane, usipende kukurupukia kujibu watu kwa maneno ya kudhania. Soma mistari yangu utaona sijasema mke wangu humo. Kina Mama wengi wako hivi maana washikaji wanalalamika about the same thing juu ya wake zao.

tabia za wake wa wenzio umezijuaje, au unaongea habari za kusadikia
 
Huenda ndo ukawa wewe mke wa rafiki yangu maana naona unajitetea sana. Usife moyo sikujuwi na sitokucheka ila jirekebishe maana jamaa anakuponda sana mitaani, tunabaki kumshangaa kwa nini bado anaishi nawe.

huyo mwanaume anayezunguka kumsema vibaya mkewe sio mwanaume, atakuwa wa kiume tu..........

Sorry nimedandia treni kwa mbele, ila ndo ukweli wenyewe
 
Pacha ndio maana nimeunga mkono hoja aisee..
Manake nyie mkoba tu unaweza kukutoa roho...

my bro SnowBall nimefurahi sana wewe kupata pacha snowhite ila ukwi jamani mwanamke mavazi hasa yanayonata na mwili atii. unaonaje unapopendeza kisha ukapata mtu anayejua kutumia kupendaza kwako? lol! ni raha ya ajabu aisee.

binafsi napenda sana kupendeza inakupa confo hata ya kukutana na watu.
 
Last edited by a moderator:

Exactly mwanamke lazima kupendeza sio tu akitoka hata akiwa ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…