Wake za watu tusaidieni katika hili..

Tairus

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
676
Reaction score
1,056
Ivi mbona sielewi inakuwaje hadi mnapakuliwa
Jiteteeni kwa maana nyingine labda tutawaelewa.

Wake za watu mliokwisha kupakuliwa ebu naomba mnisaidie maana mi sieliwi kabisa yaan...[emoji28][emoji28]

Alafu unakuta mume ndani kaacha kila kitu na usafiri juu.
Wakati mnafunga ndoa huwa hamuwazi vizuri au sielewi yaan.

Nawaza apa kwa sauti siku my future wife anachepuka sijui nitamfanyaje.

Alafu muda huu naandika huu uzi kuna mjinga mmoja anampakua mke wa mtu huko[emoji28][emoji28]

The world is not fair ivi hamuonagi hata huruma hao watoto wenu.Sielewi kabisaa

All in all nisiongee sana naomba mnisaidie tuu kuelewa alafu usiseme unalipiza kisas,sijui na na sisi tunachepuka ni ulimbuken wa kiwango cha lami.
 
Mume atakuwa hatoi huduma nzuri za ndoa au mlevi kupindukia. Ngoja waje wenyewe
 
Wewe si una dushe! Basi achana na fikra za kumiliki mbunye! Waachie ke wazimiliki pamoja na mikikimikiki yake.
Muhimu ni kueleweshana wanafeli wap..
 
Ndoa zina maumivu mengi sana, unaweza ona mwanamme ana hela na kumwachia mkewe kila kitu ila hana mapenzi ya dhati ya mkewe. Si kila anayecheat anapenda, kila mwanadamu ana hisia mkuu. Usjione mjanja kubanjua wake za watu, kuna watu wanasusa wake zao na kuthamini vichangu tena huko kwenu Dar ndo chimbuko la wanaume wa namna hiyo.
 
Kila mwanadamu ana hisia...Mungu wetu yuko wapi
 
Hawana hofu ya Mungu. Wangepaswa kumheshimu na kumhofia Mungu wao wasichepuke na si hata Waume zao.
 
Mkuu huwa sioni kama watakuwa na hoja ila nadhan tatizo ni wao wenyewe
Maana siku hizi kama jamaa hamtimizii chochote lazima aambiwe tu
Ila pia usisahau mwanamke ni mtu wa ajabu daily haeleweki
 
Uzi wa wake za watu huu..ngoja nisepetuke
 
wewe ukiowa funga masikio funga macho..... ukijifanya kuchunguza tu utakuta unagongewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…