Wake zetu msisubiri kufikishwa, fikeni!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Imekuwa kawaida kwa wake kuwalaumu waume zao eti hawawafikishi kileleni!! Kufika huko ni jitihada zenu pia! Jipange kisaikolojia mapema kwa masaa mengi kabla ya tukio.

Mpende mumeo, mtafakari jinsi unavyompenda na utazamie usiku wa raha na usubiri huo muda muafaka kwa hamu.

Usiwaze marejesho tu na biashara zako na changamoto zako za kazini hadi muda wa mechi unawadia!! Ukifanya hivyo utaishia kumchukia mumeo utakavyomwona ndani ya dakika tano anaburudika tayari na upepo mwanana wa kileleni.

Niwaulize ninyi wake je, ukifanikiwa kufika kileleni ndani ya dakika 5 utakasirika?? Hali kadhalika waume zenu hufurahia kufika mapema na jitahidini mfike nao mapema!! Kusaidiana safari hii ni muhimu ila kutelekeza jukumu kwa mwenzio eti akufikishe, hapo UTASUBIRI SANA

Kufika haraka si upungufu wa nguvu ili mradi askari anasimama wima vizuri mstarini!! Kuchelewa kufika si nguvu bali ni utashi wa makusudi na ujuzi wa kujizuia ili kumsubiri mvivu fulani anayetembea kigoigoi na kumbeba ili naye afike anakotazamia!! Sasa si wote wana utashi na ujuzi huu wa kujizuia!!

Niamini, kujizuia ni mateso ni mateso fulani hivi, na inagharimu mazoezi na nguvu ya kisaikolojia!! Pia kujizuia hupunguza sana utamu wa kilele!! kwa hiyo mwachie mumeo mara moja moja ajiachie bila kufunga funga breki ili apate kilele cha raha!!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…