Wakenya acheni Wizi na sifa za kijinga

Wakenya acheni Wizi na sifa za kijinga

Joined
May 22, 2017
Posts
35
Reaction score
13
Kila siku mmekuwa mnajaribu kujimikisha rasilimali za Tanzania kwa kuzitangaza kimataifa kuwa ni za kwenu kitu ambacho si cha kweli. Rasilimali zote hizo ni za tz mfano mlima kilimanjaro n.k
Screenshot_20190519-094010.jpeg
 
Wana Vituko Sana Wale, hawashindwi kutangaza Magufuli ni wao. Wanapenda kujisifia na kujivunia vitu vizuri vya Tanzania
 
Tutaacha Mwigulu Nchemba atakapokuja kutuomba msamaha kwa 'kuiba' SGR ya Kenya. Okei? 😡
img_20190121_103408-jpeg.1001006
 
Mwisho wa siku watakuja kusema... Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Mungano ni wa kwao pia... hapo ndiyo tutakapowasusia kabisa...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom