Wakenya bila Tanzania Hamna kitu

osmaney

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2017
Posts
1,042
Reaction score
998
Habari wanaJF

Poleni na hongereni kwa shughuli mzifanyazo.
Hakika ninyi ni wapambanaji. Kwa wale wafanyao shughuli za halali MUNGU awajalie mpate matunda ya kazi zenu.

Nisizunguke Sana, Kama kichwa kinavyojieleza pale juu. unaeza ukakisoma tena. Apo sawa[emoji28]

Basi leo katika pitapita zangu NAIRALAND FORUMS. Kwa wale ambao hamuijui ni forum falani ivi kama zinafanana ivi na JAMII FORUM. kupita uko nikakutana na ndugu zetu wakenya wazee wa kujipambanisha[emoji23]


Katika huo uzi ulikua unazungumzia kwamba Kenya imewazidi karibu kila kitu Nigeria.. ila hivi viumbe[emoji28] dahh

Katika kurasa za kwanza walijitetea vizuri, lakini baadaye wakaanza kuzidiwa bhana. Wanaigeria sio haba. Nadhani wakenya wenyewe wanajua[emoji23][emoji23]

Kuona wanazidiwa wakenya bila aibu wakaanza kutumia vitu vya Tanzania Kama vile taasisi za elimu,afya,miji mbalimbali na hata miradi mikubwa ya Tanzania.. hivi viumbe dahh[emoji23][emoji23] na ubaya walikua wanatumia Kama vyao.


Ndugu zangu wakenya mnakwama wapi..

Sema mnatukubali Sana tz


Fuata link
https://www.nairaland.com/3327789/kenya-ahead-nigeria-all-aspect/8116#91169230


Nawaongezea na baadhi ya screen shot [emoji116]
 
Kenyans and ignorant Nigerians in the forum.
 
Not only Kenya
East Africa bila Tanzania hamna kitu
 
Walisahau kuzipost dreamliner,na Airbus za ATCL ,Kuna siku watakuja sema ni zao.
 
Yani kwani hamuoni hizo post zote ni za mtu mmoja 'Anael' huyu mtu mbona Kama ni mtanzania anasifia Tanzania kwenye post ambayo sio. Jamani hivi wakenya wametokesea nini? Mbona chuki ambazo hazina umaana, watanzania tuna matitizo mengi sana sana sana. Acheni upuuzi hautatujenga hata kidogo. Kama kenya hawa tupendi hayo tuwaache nayo haya tuuhusu. Si tuzingatie changamoto zetu Kama nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…