Wakenya COVID-19 ni mafua ya kawaida tu, mtaumizana bure

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Ingawa inasemekana ugonjwa bado upo lakini maisha jijini Dar es Salaam yapo normal na watu wachache sana wanaovaa hizi masks kwa sasa hali hiyo ni nchi nzima maisha yalisharudi kawaida

Kenya wanachofanya ni ati kufanya testing kwa watu wao, nadhani kitu muhimu kwenu ni kuangalia death rate sisi Tz tunaamnini upepo wa ugonjwa huu ulishapita hata Kenya uganda pia Burundi na Rwanda. Kwetu East Africa tatizo la Corona si kubwa hivyo, huu ni ugonjwa serious kwa wenzetu nchi za Ulaya, even hapa Tz tukipimana tutapata wengi ambao wapo positive. But hauna athari kubwa kwetu waafrika

Jamani mtaumizana bure hebu acheni maisha yaendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…