Wakenya hamna hobbies?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
I mean, tangu Mwezi wa 8 mnafanya Uchaguzi, huu ni mwezi 10 bado mnaandamana tu kulumbana kuhusu Uchaguzi, hivi hamna hobbies nyingine zaidi ya Maandamano na Siasa za 19th century?
 
I mean tangu Mwezi wa 8 mnafanya Uchaguzi, huu ni mwezi 10 bado mnaandamana tu kulumbana kuhusu Uchaguzi, hivi hamna hobbies nyingine zaidi ya Maandamano na Siasa za 19th century?

Usijali. Wiki tatu zimebaki tumalizane na huyo mzee Odinga. Ametusumbua miaka mingi sana.
Baadaye tunarudi kwa hobby yetu ya kujenga taifa.
 
Usijali. Wiki tatu zimebaki tumalizane na huyo mzee Odinga. Ametusumbua miaka mingi sana.
Baadaye tunarudi kwa hobby yetu ya kujenga taifa.


Lkn ameshagoma kushiriki Uchaguzi, hivyo ni mpaka 2018!
 
Hobbies gani unataka wakafanye?

Unataka wakaogelee,au wakacheze mziki mkuu,kucheza mpira,kusoma vitabu,au kuangalia movies ??

Nijuavyo mimi,usipofuatilia/kudharau/kuacha siasa maana ake unataka wengine wakufanyie maamuzi.

Katika nchi zetu hizi siasa hutengeneza kila kitu,kila kitu ni siasa hivo ni vema kama kuna nafasi kuichukulia serious,maana ikitokea mmeboronga basi ni kila kitu kinaenda kombo.
 
We unadhani usiku tunafanya nini? Hapo sasa ndo tunapotolea stress zetu zote za siasa, ni kusawazishana vitovu tu hadi chee, hobby yetu kuu ya taifa. 😀
 
We unadhani usiku tunafanya nini? Hapo sasa ndo tunapotolea stress zetu zote za siasa, ni kusawazishana tu vitovu hadi chee, hobby yetu kuu ya taifa. 😀
hivi umeshapata uraia wa Kenya??
 
Kuwa mzuri kwa soka na kuwa na viwanja are two differnt things

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app

duuu wewe kweli ni shida, kwa hiyo, kwa akili yako uzuri wa timu unatokana na kuwa na mashamba ya kahawa.
hata huelewi wanavyosema uwekezaji wa kwenye michezo wanamaanisha nini!!!
 
nyie ndo mna hobby sio?...hehe...ingieni world cup basi ama mmalize nambari moja kwa Olympics kama sisi tulivozoea barani Afrika..mkishafanya hivi njoo tuzungumzie hobby za aina ingine..
 
malizeni uchaguzi kule. uchaguzi gani zaidi ya miezi mitatu kama mgomo wa madaktari.
 
Mleta mada buku saba ambazo huwa naskia mnapata hapo Lumumba unazitumia vibaya kwa hobby yako ya kuiwaza Kenya. Unafaa kuisifia CCM mbele kwa mbele bila kuwaza chochote nje ya chama hicho kikuu.
 
Lkn ameshagoma kushiriki Uchaguzi, hivyo ni mpaka 2018!

Halazimishwi kushiriki. Lakini uchaguzi utafanyika bado.
Ndio maana anapinga kwa nguvu amendments za Jubilee zinazosema ukijiondoa, anayebaki anakuwa president unopposed. Lakini Jubilee iko na majority parliament, so bill itapita.
 
Shenzi yako wee, mngekuwa wazuri kwenye soka CUF wangewapokonya maandalizi ya CHAN.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…