Wakenya hata hawajui mantiki ya Generation Z ni nini. Wanafuata tu kama mkumbo

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Ndio maana kila siku ninasemaga Wakenya wanayo safari ndefu sana ya kujitambua kwa sababu wamekubali kuwaweka wazungu kwenye vichwa vyao.

Sasa hivi huko mitandaoni utawasikia Wakenya " Generation Z this" Generation Z that"

Na wanaona fahari kweli kuonekana wanajua kuhusu Generation Z. Utawasikia wanasema " Hivi wa Tz wanajua hata nini maana ya Generation Z isije kuwa wanajua ni JAY melody "

Haya hebu waambie wakupe definition ya Generation Z, watakwambia Generation Z ni kizazi cha watu walio zaliwa kati ya mwaka 1997 hadi mwaka 2012"

Halafu baada ya hapo watakutajia sifa zao blah blah blah.

Sasa ukitaka kuwaonyesha ujinga wao waulize:

1. Ni nani alie amua kwamba watu walio zaliwa kati ya mwaka 1997 hadi 2012 wanatakiwa kuitwa Generation Z?

2. Na ni kwanini Ali wabatiza jina " Generation Z" na sio " Generation q, x,n, h " etc.? Why Z and not j or e?

3. Na ni kwanini alisema kwamba watu wa kizazi hicho watakuwa na sifa hizo?

Hawatakuwa na majibu ya kukupa

Wao wanacho jua ni kwamba wao ni Generation Z kwa sababu wazungu wamesha sema hivyo. Mzungu akishasema wao hawawezi kupinga. Ni kufuata tu.

Ni ujinga wa hali ya juu sana kuwa proud kujiita wewe ni Generation Z wakati haujui mantiki ya mtu alieamua wewe uitwe Generation Z.

Na ni upuuzi wa hali ya juu zaidi kuishi maisha yako mwenyewe kwa kufuata uelekeo wa maneno aliyo yatamka huyo muasisi wa agenda ya Generation Z.

Yani ni sawa na sasa hivi niseme, watu walio zaliwa kuanzia mwaka 1980 hadi 1990 jina lao ni " GENERATION NYENGOMBILI" na tabia zao watakuwa ndio mzee kwa kila jambo wanalo ambiwa, wanaume watakuwa hawana nguvu za kiume, watakuwa wanalelewa na wake zao, watakufa kabla ya wake zao n.a. watakufa masikini"

Wewe ukikubali na kuanza kujiita " Gen Nyengombili" na kuanza kuyaishi hayo ambayo Mimi nimekutamkia utakuwa hivyo hivyo kama ambavyo Mimi nimekutamkia.

Katika ulimwengu wa roho hiyo inaitwa " SPIRITUAL PROGRAMMING "

We create a program. We give it a name. And we programme you into that kwa sababu ambazo tunazijua sisi wenyewe.

Acheni ujinga huo wa kujiita Gen This or Gen that ni upuuzi mtupu..

Wakenya imeanza kuwa cost na itawacost big time kwa sababu mnaabudu sana uzungu na wazungu. Sasa hivi Kenya hata kijana akiwa shoga au msagaji au akitaka kubadilishia jinsia utasikia mzazi anasema " HAWA NDIO GENERATION Z BANA WAKIAMUA WAMEAMUA. HALAFU ILISHA TABIRIWA KWAMBA WATAKUWA TOLERANT TO HOMOSEXUALITY.

Hao wazungu mliowaweka kwenye vichwa vyenu wanasema" THE MOST BEST WAY TO PREDICT THE FUTURE IS TO CREATE IT" hayo ni maneno ya Abraham Lincoln.

Maana yake ni kwamba huu upuuzi mnao uita Generation Z waliutengeneza wenyewe ndio maana wali declare kabisa before kwamba mtakuja kuwa mna behave this way.

You Kenyan (Gen Z ) the way u behave is not the way you are suppossing to but it is the way these people want you to.

Remove them in your head and start to live as you.

Na nyie ndugu zangu wa Tz acheni kusifia eti Wakenya ni majasiri. Ujasiri hauendani na uharibifu.

People who cannot appreciate the danger of what they are doing are nothing but fools.

Generation Z is not a generation of people. It is an Agenda.
 
Genereation Z ni Zoomer Generation. vijana waliozaliwa kwenye mwaka ulioandika hapo. Shida yako ni wewe tu kupenda kuonekana ndio unajua kila kitu. kwani wakijiita hivyo na wakiitetea nchi yao kwa kujipa jina hilo wewe inakuuma nini?
 
Hata hujaelewa hoja yangu. Upo kama Wakenya vile. Kwani nani hajui hiyo z ina stand for zoomers? Natamani mods waweke option ya bakora watu kama nyie niwe nawatia bakora tu.
 
Ndio maana kila siku ninasemaga Wakenya wanayo safari ndefu sana ya kujitambua kwa sababu wamekubali kuwaweka wazungu kwenye vichwa vyao.

Sasa hivi huko mitandaoni utawasikia Wakenya " Generation Z this" Generation Z that"

Na wanaona fahari kweli kuonekana wanajua kuhusu Generation Z. Utawasikia wanasema " Hivi wa Tz wanajua hata nini maana ya Generation Z isije kuwa wanajua ni JAY melody "

Haya hebu waambie wakupe definition ya Generation Z ?

Watakwambia Generation Z ni kizazi cha watu walio zaliwa kati ya mwaka 1997 hadi mwaka 2012"

Halafu baada ya hapo watakutajia sifa zao blah blah blah.

Sasa ukitaka kuwaonyesha ujinga wao waulize:

1. Ni nani alie amua kwamba watu walio zaliwa kati ya mwaka 1997 hadi 2012 wanatakiwa kuitwa Generation Z?

2. Na ni kwanini Ali wabatiza jina " Generation Z" na sio " Generation q, x,n, h " etc.? Why Z and not j or e?

3. Na ni kwanini alisema kwamba watu wa kizazi hicho watakuwa na sifa hizo?

Hawatakuwa na majibu ya kukupa

Wao wanacho jua ni kwamba wao ni Generation Z kwa sababu wazungu wamesha sema hivyo. Mzungu akishasema wao hawawezi kupinga. Ni kufuata tu.

Ni ujinga wa hali ya juu sana kuwa proud kujiita wewe ni Generation Z wakati haujui mantiki ya mtu alieamua wewe uitwe Generation Z.

Na ni upuuzi wa hali ya juu zaidi kuishi maisha yako mwenyewe kwa kufuata uelekeo wa maneno aliyo yatamka huyo muasisi wa agenda ya Generation Z.

Yani ni sawa na sasa hivi niseme, watu walio zaliwa kuanzia mwaka 1980 hadi 1990 jina lao ni " GENERATION NYENGOMBILI" na tabia zao watakuwa ndio mzee kwa kila jambo wanalo ambiwa, wanaume watakuwa hawana nguvu za kiume, watakuwa wanalelewa na wake zao, watakufa kabla ya wake zao n.a. watakufa masikini"

Wewe ukikubali na kuanza kujiita " Gen Nyengombili" na kuanza kuyaishi hayo ambayo Mimi nimekutamkia utakuwa hivyo hivyo kama ambavyo Mimi nimekutamkia.

Katika ulimwengu wa roho hiyo inaitwa " SPIRITUAL PROGRAMMING "

We create a program. We give it a name. And we programme you into that kwa sababu ambazo tunazijua sisi wenyewe.

Acheni ujinga huo wa kujiita Gen This or Gen that ni upuuzi mtupu..

Wakenya imeanza kuwa cost na itawacost big time kwa sababu mnaabudu sana uzungu na wazungu. Sasa hivi Kenya hata kijana akiwa shoga au msagaji au akitaka kubadilishia jinsia utasikia mzazi anasema " HAWA NDIO GENERATION Z BANA WAKIAMUA WAMEAMUA. HALAFU ILISHA TABIRIWA KWAMBA WATAKUWA TOLERANT TO HOMOSEXUALITY.

Hao wazungu mliowaweka kwenye vichwa vyenu wanasema" THE MOST BEST WAY TO PREDICT THE FUTURE IS TO CREATE IT" hayo ni maneno ya Abraham Lincoln.

Maana yake ni kwamba huu upuuzi mnao uita Generation Z waliutengeneza wenyewe ndio maana wali declare kabisa before kwamba mtakuja kuwa mna behave this way.

You Kenyan (Gen Z ) the way u behave is not the way you are suppossing to but it is the way these people want you to.

Remove them in your head and start to live as you.

Na nyie ndugu zangu wa Tz acheni kusifia eti Wakenya ni majasiri. Ujasiri hauendani na uharibifu.

People who cannot appreciate the danger of what they are doing are nothing but fools.

Moderator naomba msiunganishe Uzi huu na nyuzi nyingine.

Generation Z is not a generation of people. It is an Agenda.
muhimu ni kwamba wanajitambua na wanapigania maslahi yao
wewe kama mambo yanakwendae vizuri, tulia.
 
Ukweli mchunga sisi watz ni mang'ombe!

Tungekuwa na akili walau nusu ya wakenya saa hii chura kiziwi na genge lake wasingekuwa pale walipo
Wakenya wangekuwa na akili hiyo issue wala hata haihitaji maandamo ni ishu ya kimahakama.

Watanzania marijali sisi. Yani niache kukaa na mrembo wangu anipe viuno vya kimwera niende kuandamana barabarani kwa mambo ya kipuuzi.

Ni akili au matope?
 
Sasa,kama muda wote unawaza viuno vya kimwera,utapata wapi akili njema za kupigania haki zako?
NB;Huyo mmwera ndiyo ulimfuata kule Ntwara/Lindi ulipokuwa unatusumbua kwa maswali?
 
Ndio maana kila siku ninasemaga Wakenya wanayo safari ndefu sana ya kujitambua kwa sababu wamekubali kuwaweka wazungu kwenye vichwa vyao.

Sasa hivi huko mitandaoni utawasikia Wakenya " Generation Z this" Generation Z that"

Na wanaona fahari kweli kuonekana wanajua kuhusu Generation Z. Utawasikia wanasema " Hivi wa Tz wanajua hata nini maana ya Generation Z isije kuwa wanajua ni JAY melody "

Haya hebu waambie wakupe definition ya Generation Z ?

Watakwambia Generation Z ni kizazi cha watu walio zaliwa kati ya mwaka 1997 hadi mwaka 2012"

Halafu baada ya hapo watakutajia sifa zao blah blah blah.

Sasa ukitaka kuwaonyesha ujinga wao waulize:

1. Ni nani alie amua kwamba watu walio zaliwa kati ya mwaka 1997 hadi 2012 wanatakiwa kuitwa Generation Z?

2. Na ni kwanini Ali wabatiza jina " Generation Z" na sio " Generation q, x,n, h " etc.? Why Z and not j or e?

3. Na ni kwanini alisema kwamba watu wa kizazi hicho watakuwa na sifa hizo?

Hawatakuwa na majibu ya kukupa

Wao wanacho jua ni kwamba wao ni Generation Z kwa sababu wazungu wamesha sema hivyo. Mzungu akishasema wao hawawezi kupinga. Ni kufuata tu.

Ni ujinga wa hali ya juu sana kuwa proud kujiita wewe ni Generation Z wakati haujui mantiki ya mtu alieamua wewe uitwe Generation Z.

Na ni upuuzi wa hali ya juu zaidi kuishi maisha yako mwenyewe kwa kufuata uelekeo wa maneno aliyo yatamka huyo muasisi wa agenda ya Generation Z.

Yani ni sawa na sasa hivi niseme, watu walio zaliwa kuanzia mwaka 1980 hadi 1990 jina lao ni " GENERATION NYENGOMBILI" na tabia zao watakuwa ndio mzee kwa kila jambo wanalo ambiwa, wanaume watakuwa hawana nguvu za kiume, watakuwa wanalelewa na wake zao, watakufa kabla ya wake zao n.a. watakufa masikini"

Wewe ukikubali na kuanza kujiita " Gen Nyengombili" na kuanza kuyaishi hayo ambayo Mimi nimekutamkia utakuwa hivyo hivyo kama ambavyo Mimi nimekutamkia.

Katika ulimwengu wa roho hiyo inaitwa " SPIRITUAL PROGRAMMING "

We create a program. We give it a name. And we programme you into that kwa sababu ambazo tunazijua sisi wenyewe.

Acheni ujinga huo wa kujiita Gen This or Gen that ni upuuzi mtupu..

Wakenya imeanza kuwa cost na itawacost big time kwa sababu mnaabudu sana uzungu na wazungu. Sasa hivi Kenya hata kijana akiwa shoga au msagaji au akitaka kubadilishia jinsia utasikia mzazi anasema " HAWA NDIO GENERATION Z BANA WAKIAMUA WAMEAMUA. HALAFU ILISHA TABIRIWA KWAMBA WATAKUWA TOLERANT TO HOMOSEXUALITY.

Hao wazungu mliowaweka kwenye vichwa vyenu wanasema" THE MOST BEST WAY TO PREDICT THE FUTURE IS TO CREATE IT" hayo ni maneno ya Abraham Lincoln.

Maana yake ni kwamba huu upuuzi mnao uita Generation Z waliutengeneza wenyewe ndio maana wali declare kabisa before kwamba mtakuja kuwa mna behave this way.

You Kenyan (Gen Z ) the way u behave is not the way you are suppossing to but it is the way these people want you to.

Remove them in your head and start to live as you.

Na nyie ndugu zangu wa Tz acheni kusifia eti Wakenya ni majasiri. Ujasiri hauendani na uharibifu.

People who cannot appreciate the danger of what they are doing are nothing but fools.

Moderator naomba msiunganishe Uzi huu na nyuzi nyingine.

Generation Z is not a generation of people. It is an Agenda.
Kwani Generation Z inapply Kenya tu.? Si in-cut across dunia nzima?

Sasa mbona unawasema kama vile gen z ni a unique name yenye ajenda iliyowalenga kwa wakenya only
 
Back
Top Bottom