Wakenya hata hawajui mantiki ya Generation Z ni nini. Wanafuata tu kama mkumbo

Kwani Generation Z inapply Kenya tu.? Si in-cut across dunia nzima?

Sasa mbona unawasema kama vile gen z ni a unique name yenye ajenda iliyowalenga kwa wakenya only
Hata hujaelewa mada
 
Ila walivurugana huku wasije kwetu Tz wamalizane huko huko na ukabila wao.sisi huku hatutaki ujinga wao.
Wewe una hasira zako zingine kabisa. Waandamanaji hawana agenda ya ukabila ila wanalenga maslahi mapana ya wao kama wananchi.
 
Hata hujaelewa hoja yangu. Upo kama Wakenya vile. Kwani nani hajui hiyo z ina stand for zoomers? Natamani mods waweke option ya bakora watu kama nyie niwe nawatia bakora tu.
Wewe ndio hujielewi. Hao madogo wametafsiri hiyo Finance bill kwa Lugha za makabila 20 ndani ya Kenya ili watu waujue huo muswada. Wewe ukiulizwa lolote kuhusu muswada wa Tanzania hata huku kitu, ila ya Kenya yanakuwasha. Very stupid idiot
 
Acha kupangia watu maamuzi yao. Mbona wamefaulu na Sasa muswada itarudi bungeni upya. Punguza akili za kiccm kwenye nchi za watu. Wewe endelea na uchawa wako.
 
Huu upuuz ulioandika ni uzushi tu... mTz hapendi kupigania haki yake ni kwasabab ni muoga mzushi mbea mnafki mjinga mpuuzi zwazwa hujitambui zandiki hayawani bogus zumbukuku...
 
Wakenya we wambie tu maandamano yanahusu nini watakautana nayo katikat ya safar
 
Unawaza ngono tuu
 
Bandiko refu bila mantiki

Una hasira na stress unahisi hayuko salama

Mnawaibia wananchi mkiona Wadai haki mnakuja kuanzisha nyuzi za kijinga

Hongera sana gen. Z vijana Wetu hapa bongo waige wenzao huko kenya tuikomboe nchi yetu
 
Unatia kichefuchefu we Fara. Ndio miccm mijinga inayozuia mawazo mapya na kudumaza Nchi hadi leo.
 
Bandiko refu bila mantiki

Una hasira na stress unahisi hayuko salama

Mnawaibia wananchi mkiona Wadai haki mnakuja kuanzisha nyuzi za kijinga

Hongera sana gen. Z vijana Wetu hapa bongo waige wenzao huko kenya tuikomboe nchi yetu
Tafuta hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…