Wakenya hawaheshimiani

ushashi

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
375
Reaction score
518
Hakuna mkubwa , hakuna Cha mtoto, hakuna kiongozi Wala Nini....Kila mtu mjuaji....nchi haitawaliki.Siasa mpaka makanisani....vurugu, mabomu, KERO Kila mahali, Hali mbaya ya maisha, vitu bei juu... chakula hakuna.

Hakuna umoja wa kitaifa yaani kila mmoja kimoango wake. Hakuna Cha president Wala makamu wake...raia wanatukana viongozi na media zinasambaza na hakuna kuchukuliwa hatua eti ni freedom of expression.

Hii itawacost sana
 
Watakuja kukuliza chanzo cha habari yako ni kipi ili waamini
 
Pamoja na vurugu zao bado bongo inasoma namba kwa almost every thing .

Askari wao wanafuata sheria, wa kwetu wanawarushia wananchi risasi za moto sometimes bila kosa ref. Kuuawa kwa Akwillina Akwilini
 
Hakuna mkubwa , hakuna Cha mtoto, hakuna kiongozi Wala Nini....Kila mtu mjuaji....nchi haitawaliki.Siasa mpaka makanisani...
Hicho ndicho kilichowafanya wakenya watuzidi maendeleo. Hawaabudu viongozi, wala hawako tayari kuvumilia ujinga.

Haya tuambie, watanzania wamenufaika nini kulamba viatu vya wanasiasa wao? Tunawazidi nini wakenya?

Hapa Tanzania, hadi rais wa TFF ni mungu-mtu. Hataki kusemwa wala kukosolewa. PATHETIC!
 
Pamoja na vurugu zao bado bongo inasoma namba kwa almost every thing .

Askari wao wanafuata sheria, wa kwetu wanawarushia wananchi risasi za moto sometimes bila kosa ref. Kuuawa kwa Akwillina Akwilini
mkuu,, kifo cha Akwilina kiliniumiza sana roho aisee... acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…