Mr worldwide
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 348
- 740
Kunyamba - kujambaAmepeana yeye......amempa
Manyang'au ni malimbukeni sana! Ni ufahari gani wanaoupata kwa kuongea Kiswahili kibovu!Siyo kweli kwamba Wakenya hawajui Kiswahili, bali hawataki kuongea Kiswahili fasaha, hayo ni mambo 2 tofauti.
Kiswahili ni lugha ya Taifa Kenya, kwanza kwa Mji kama Nairobi ni Lugha ya kwanza ya karibia vijana wote, familia nyingi wanatumia Kiswahili kuwasiliana.
Hivyo kusema hawajui siyo kweli, sema wanakidharau Kiswahili hasa wale ,,wasomi“, kwani wanajifunza Shuleni lkn bado kutokuongea Kiswahili vizuri ni sifa kwao lkn kutokujua English vizuri ni aibu.
Si hata manzi moja anikatie=mwanamke mmoja anitongoze.Amepeana yeye......amempa
Ngoja aje mk254 panya road wa Nairobi.ila kakulia vingunguti na kiswahili chake cha kizaramuManyang'au ni malimbukeni sana! Ni ufahari gani wanaoupata kwa kuongea Kiswahili kibovu!
Halafu hata Kiingereza hawakijui pia. Lafudhi mbovu yenye matamshi mazito kama uji wa mtama!
Kiingereza gani kile cha kijinga vile!
hivi ni vichekesho!Kunyamba - kujamba
kujaribu - kufanya vizuri
kupeana - kumpa
sema na - kumwambia
Hawa mafalastuka hawang'am za sheng, ni mamwere wa Morogoro. Wanapenda tu kubonga mob kama mapoko wa Ndumberi.Wabongo mbna mnateseka sana na sheng
Wakenya hamueleweki ni lugha gani mnaimaster vizuri zaidi kuliko kati ya lugha zinazozungumzwa nchini mwao
Kiwashili hamuwezi, labda mtambe na lugha za kikabila tu kwani hata kiingereza pia mnafanana uwezo na wabongo
watanzania wajuzi na ndio wenye kiswahili tutumie fursa hii kupenya kenya kufundisha kiswahili fasaha!
Wacha ufyatu njoo mombasa ,lamu,kwale tukufunze kiswahili,kiswahili lahaja na hakuna lahaja iliyo bora kuliko ingine..kiswahili kilizaliwa huku baada ya ndoa ya warabu na mijikenda nenda kasome historia kabla ya kuanzisha uzi wa kinafikiWakenya hamueleweki ni lugha gani mnaimaster vizuri zaidi kuliko kati ya lugha zinazozungumzwa nchini mwao
Kiwashili hamuwezi, labda mtambe na lugha za kikabila tu kwani hata kiingereza pia mnafanana uwezo na wabongo
watanzania wajuzi na ndio wenye kiswahili tutumie fursa hii kupenya kenya kufundisha kiswahili fasaha!