joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Imeonekana wazi kwamba hakuna mkenya mwenye sifa na uwezo wa kuwa CEO wa safari com, hii ndio sababu kubwa ya kumrudisha mzungu baada ya kifo cha Bob Collymore.
Kutokuaminiwa kwa wakenya kunatokana na ufanisi mbaya uliosababisha makampuni Mengi yaliyokuwa chini ya wakenya kuporomoka na mengine kufilisika.
Japo serikali ya Kenya ni mdau katika safari com na KQ, lakini kamwe haiwaamini wakenya kuendesha makampuni hayo, ndio sababu pamoja na kusisitiza ajira kwa wakenya, lakini kamwe imegoma kuwapa wakenya kuyaendesha.