Wakenya hawana sifa na hawaaminiki kuendesha Safari com

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Imeonekana wazi kwamba hakuna mkenya mwenye sifa na uwezo wa kuwa CEO wa safari com, hii ndio sababu kubwa ya kumrudisha mzungu baada ya kifo cha Bob Collymore.

Kutokuaminiwa kwa wakenya kunatokana na ufanisi mbaya uliosababisha makampuni Mengi yaliyokuwa chini ya wakenya kuporomoka na mengine kufilisika.

Japo serikali ya Kenya ni mdau katika safari com na KQ, lakini kamwe haiwaamini wakenya kuendesha makampuni hayo, ndio sababu pamoja na kusisitiza ajira kwa wakenya, lakini kamwe imegoma kuwapa wakenya kuyaendesha.
 
I have two points here
1)I'm so thrilled to know that you religiously follow Kenyan Media to pick news and bring them to JF. I never knew our TV stations have that influence in Tz....It's not a bad thing anyway...I don't know even a single TV station in Tz and I don't aspire to know.

2)The issue here is not about a Kenyan heading Safaricom. In any case we have had Kenyans leading global corporations bigger than Safaricom, Just to name a few:

James Waweru-Vice President Unilever Middle East and Asia
Peter Ndegwa-CEO Diageo PLC Nigeria
Charles Mwangi-Former Senior Director Engineering, Tesla
Dorothy Ghettuba-Netflix Manager, International Originals

The issue is government interference, especially in decision making and Tendering. For a brand like Safaricom, that is the most profitable company in East and Central Africa, such interference which mostly would be political would affect its operations.
 
Hahahaha, umesikiliza na kuangalia hiyo clip ya video?. Hakuna mkenya anayaweza kuendesha Safari com, wametolea mfano wa makampuni ya Kenya yaliyokuwa yakiongozwa na wakenya na kufanya vibaya. Wewe hayo unayosema ni maoni yako, sana sana kwasababu ya "denial" kama kawaida yenu, lakini sababu iliyotolewa na wahusika ni uwezo mdogo wa wakenya, hata KQ walitoa sababu hiyo hiyo.
 
Nyie mna uwezo upi mburulaz?
 
Nyani haoni kundule .Kama unajiona nyie ndio wenye uwezo kila kitu mbona Kenya imepiga hatua kubwa kulioko Tz karibu kwa kila kitu ? Mbona Air Tanzania ilifanya vibaya sana hadi kufa?Mbona ujamaa wenu ulileta maisha mbaya sana hadi ukafa?
 
Nyani haoni kundule .Kama unajiona nyie ndio wenye uwezo kila kitu mbona Kenya imepiga hatua kubwa kulioko Tz karibu kwa kila kitu ? Mbona Air Tanzania ilifanya vibaya sana hadi kufa?Mbona ujamaa wenu ulileta maisha mbaya sana hadi ukafa?
Akili ndogo haiwezi kushindana na akili kubwa, hatua ipi Kenya imepiga?, nchi ambayo haina uwezo wa kuwapatia wananchi wake "basic needs",
1)Food
2)Security
3)Housing
4)Employment
5) Safe drinking water
Bado unasema imepiga hatua kuishinda Tanzania. Huu ujinga wenu ndio unawafanya kila mwaka mnazidi kurudi nyuma.

Ujamaa ndio uliofanya tuondokane na
1)Ukabila
2)Rushwa
3)Unemployment
4)Big gap between rich and poor
5)insecurity
6)Land injustice
7)
Haya mambo ndiyo yanayoitesa Kenya, na kamwe hamtiweza kupambana nayo.
Ninyi ubepari umewasaidi nini iwapo hadi Leo hata kujilisha kama nchi mumeshindwa?
 
Reactions: Oii
Video imesema hakuna mkenya anayeweza....kwel...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ccm hoyeeeeee...magu lemaza akili..
 
Leta idadi ya maskini kenya na tanzania...pia vile vile usisahau watu wenye kipato cha kati...
 
Ni Wezi na Wabinafsi

Wana Ukabila

Wana Njaa Kali sana

Wana Minyoo

Ndio maana hawaaminiki
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Leta idadi ya maskini kenya na tanzania...pia vile vile usisahau watu wenye kipato cha kati...
Ni Wezi na Wabinafsi

Wana Ukabila

Wana Njaa Kali sana

Wana Minyoo

Ndio maana hawaaminiki
 
Michael Joseph was appointed as the interim CEO since he one of the members who seats in the safaricom board .
The highest ranking Officer in any organization is the Chairman not the CEO .
Bob collymore was not running a one man show as you are trying to insinuate his work as a CEO .was to ensure implementation of Board strategy and policy.
 
Safaricoms Chairman is known as Nicholas Nganga a Kenyan by birth.
Anyway I know the main aim of this thread is to try and discredit Kenya. For your informational we have countless people who can be tasked to run even bigger companies and organizations .
 
Nimeamini kweli kwa Mdanganyika Kenya ni USA. You all look upto Kenya for all news and follow events here with keen intent hadi mmejisahau huko kwenu. Keep it up. That's good business for us
 
Hahahaha, msikilize Michael Joseph, na soma "Title" ya hiyo video inaseama kwamba" Hatujampata mkenya anayefaa". Wewe ndiye unayesema kwamba kuna wakenya wanaweza, ila wao Safari com wanaona hakuna mkenya anafaa, sasa wewe anzisha kampuni lako na uweke mkenya CEO uone kitakachokukuta, hahahaha, hahahaha.
 
Video imesema hakuna mkenya anayeweza....kwel...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ccm hoyeeeeee...magu lemaza akili..
Kama kawaida yenu "denial", hata mkiambiwa watu wenu wanakufa kwa njaa, serikali yenu inapinga, mkiambiwa Kenya mna ukabila pia mnapinga, soma " Title " ya hiyo video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…