The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
- Thread starter
-
- #101
Keshakimbia mkuu baada ya kugundua mkenya wa kwnz kujua sheria alifundishwa hapa Tz ndio akaenda kuwafundisha wenzie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]So where are the alumni, what are they doing
And by the way, na wewe una Elimu gani?
Teknolojia ipi?Guys hatuwezi kuwa serious watz hatuoni aibu kujishindanisha na Kenya?? Tena kwa upuuzi kama huu wenzetu Teknolojia yao sio level zetu si tupo tunaweka ligi za ajabu...
Kibaki ana Bsc in Economics from Makerere UnNilikuwa sijui mkuu [emoji3][emoji3][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90][emoji3545][emoji3545]
So far hamna chuo cha Kenya kimetoa President! BTW neither Kenyatta snr nor Moi had a degree! Aside Kibaki even Uhuru is doubted to have finished his degree!
CC: Tony254
Labda ya kunya kwenye mifuko ya Rambo!Teknolojia ipi?
Waulize waliosoma UDSM Kama bado wako hai...Wamekuja UDSM kusomea nn?
Nimecheka sana mkuu hahahahahhaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda ya kunya kwenye mifuko ya Rambo!
Shida co kuwa hai soma heading kisha utuletee kutoka Kunyaland.Waulize waliosoma UDSM Kama bado wako hai...
Msipende kulinganisha awamu ya urais was Mwalimu (RIP mzee wetu) na hizi awamu nyingine za hovyo hovyo!Yoweri Kaguta Museveni (Rais wa Uganda)
Willy Mutunga (Former Chief Justice of Kenya)
Laurent Kabila (Former president DRC)
Eriya Kategaya (Former vice president of Uganda)
John Garang (Former president of Sudan)
Donald Kaberuka (Former president of AfDB)
Joseph Obgeb Jimmy (Namibian Diplomat)
Hawa ni wachache tu natumai watawekwa wengine wengi ili mjue kwamba sisi ndiyo baba wa kila kitu hapa East and Central Africa.
Cc Tony254 komora096 Nicxie Teargass mwaswast Magix Enga Yosef Festo MK254 Kafrican
umemsahau Tanasha kwenye list,alipita w.c bee chuo cha mziki...Yoweri Kaguta Museveni (Rais wa Uganda)
Willy Mutunga (Former Chief Justice of Kenya)
Laurent Kabila (Former president DRC)
Eriya Kategaya (Former vice president of Uganda)
John Garang (Former president of Sudan)
Donald Kaberuka (Former president of AfDB)
Joseph Obgeb Jimmy (Namibian Diplomat)
Hawa ni wachache tu natumai watawekwa wengine wengi ili mjue kwamba sisi ndiyo baba wa kila kitu hapa East and Central Africa.
Cc Tony254 komora096 Nicxie Teargass mwaswast Magix Enga Yosef Festo MK254 Kafrican
Km watu wanakumbuka wakati wa african cup kulikua na kipindi cha mpira kila nchi walikua wanakuja ku represent..
Kenya kw ujumla sio ya mchezo katika elimu, tunaaminika sana hata km kuna wengine bado wanajitoa ufahamu
USA ya nini apa?Wewe ndio moja ya watu wanaofikri Kenya ni sawa na USA hapa EAC!
unahabari kwamba watu milioni 1.4 hapo Kenya watakufa njaa mwaka huu?
Kenya bado sana kuwafikiaOna unavyokurupuka, nani anaongelea Technology hapa.
Hao uliowataja walikuwa hawawakilishi chuo kikuu cha DSM walikuwa wanajiwakilisha wenyewe na wahukumiwe kwa matendo na maneno yao.Zilizopendwa, enzi hizi wanaopitia humo ndio wale wa kupanda ndege kwa mbwembwe nyingi wakalete kikombe cha babu wa Madagascar na kufunga 'mashine' za kupiga nyungu hadi kwenye hospitali.