Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Halafu mama alisisitiza mumomumo kwa lugha ya Uhuru "kutia kidole"! Nilikuwa nafikiria Uhuru command of Kiswahili is good ila speech ya jana ikmeniamsha kiukweli Museveni anaongea vizuri zaidi!Mzee acha Ku complicate mambo.
Kupiga dole ni kuweka saini.
Mambo mengine ni lugha za kihuni.
Museveni kaishi hadi manzese, Kiswahili hakiwezi kumsumbuaHalafu mama alisisitiza mumomumo kwa lugha ya Uhuru "kutia kidole"! Nilikuwa nafikiria Uhuru command of Kiswahili is good ila speech ya jana ikmeniamsha kiukweli Museveni anaongea vizuri zaidi!
Anakijua vizuri!Museveni kaishi hadi manzese,kiswahili hakiwezi kumsumbua
Nashangaa sana mama hajawapelekea kamusiUkikiongea Kiswahili cha Kenya hadharani ukiwa Tanzania unaweza jikuta umeshushiwa kipigo heavy.
Hii lugha inawapiga chenga sana. Tuendelee kuwasaidia ipo siku wataelewa.
Nasikia Museven kafundisha Chuo cha Ushirika Moshi.Museveni kaishi hadi manzese, Kiswahili hakiwezi kumsumbua
Yup, kafundisha pale, na akapata wife wa kichaga akiwa moshi, ambae mtoto wao anaweza rithi madaraka aftr Museveni, ni mtu mzito jeshini.Nasikia Museven kafundisha Chuo cha Ushirika Moshi.
...Mama amesema "kuweka Kidole" sio "kutia Kidole" acheni uchakachuaji!Halafu mama alisisitiza mumomumo kwa lugha ya Uhuru "kutia kidole"! Nilikuwa nafikiria Uhuru command of Kiswahili is good ila speech ya jana ikmeniamsha kiukweli Museveni anaongea vizuri zaidi!
Ni kweli aisee.......Mama amesema "kuweka Kidole" sio "kutia Kidole" acheni uchakachuaji!
Ukikiongea Kiswahili cha Kenya hadharani ukiwa Tanzania unaweza jikuta umeshushiwa kipigo heavy.
Hii lugha inawapiga chenga sana. Tuendelee kuwasaidia ipo siku wataelewa.
View attachment 1773912