joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ninadhani ni muda muafaka sasa kwa Tanzania kuingilia kati na kuisaidia Kenya kama zilivyofanya nchi za China, USA, UAE, Turkey na Botswana kwa kuwapa Kenya chakula cha msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app