joto la jiwe JF-Expert Member Joined Sep 4, 2017 Posts 26,117 Reaction score 46,617 Jan 19, 2020 #1 Ninadhani ni muda muafaka sasa kwa Tanzania kuingilia kati na kuisaidia Kenya kama zilivyofanya nchi za China, USA, UAE, Turkey na Botswana kwa kuwapa Kenya chakula cha msaada. Sent using Jamii Forums mobile app
Ninadhani ni muda muafaka sasa kwa Tanzania kuingilia kati na kuisaidia Kenya kama zilivyofanya nchi za China, USA, UAE, Turkey na Botswana kwa kuwapa Kenya chakula cha msaada. Sent using Jamii Forums mobile app
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Jan 19, 2020 #2 wacha waendelee na kutaja vzuri kwenye mitandao kila kitu ni chao juzi mpaka samatta ni wao . Sent from my iPhone using JamiiForums
wacha waendelee na kutaja vzuri kwenye mitandao kila kitu ni chao juzi mpaka samatta ni wao . Sent from my iPhone using JamiiForums
joto la jiwe JF-Expert Member Joined Sep 4, 2017 Posts 26,117 Reaction score 46,617 Jan 19, 2020 Thread starter #3 chizcom said: wacha waendelee na kutaja vzuri kwenye mitandao kila kitu ni chao juzi mpaka samatta ni wao . Sent from my iPhone using JamiiForums Click to expand... Hapana kaka, kumbuka kwamba Mungu alituambia na kutuelekeza kwamba" Mpende jirani yako". Sent using Jamii Forums mobile app
chizcom said: wacha waendelee na kutaja vzuri kwenye mitandao kila kitu ni chao juzi mpaka samatta ni wao . Sent from my iPhone using JamiiForums Click to expand... Hapana kaka, kumbuka kwamba Mungu alituambia na kutuelekeza kwamba" Mpende jirani yako". Sent using Jamii Forums mobile app
Naton Jr JF-Expert Member Joined Oct 5, 2016 Posts 7,867 Reaction score 19,250 Jan 19, 2020 #4 Tanzania ndio inafaidika hapo sababu hizo pesa zinaenda kwa wakulima wetu.