Wakenya imetosha sasa, mmeiba mlima Kilimanjaro sasa mmehamia kwa Samatta

Hahaha Samatta ndiye nani sasa? Hakuna mKenya anayemtambua. Tunao Origi na Wanyama ambao wapo kwenye UEFA CHAMPIONS LEAGUE final. Tosha.
sasa hao wanyama ni wa Serengeti au Ruaha mbona mnatuchanganya
 
Leten statistic za wanyama za uefa na sie tuwape za samata europa
 
Hahaha Samatta ndiye nani sasa? Hakuna mKenya anayemtambua. Tunao Origi na Wanyama ambao wapo kwenye UEFA CHAMPIONS LEAGUE final. Tosha.

Utamtambua kwenye mashindano ya africa. Na siku ambayo Kn vs Tz watacheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…