Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Eee sisi ni wazuri...Ila wadada wabongo na wa salute, kwa wale wengi nmeishi nao ni wazuri yani mpaka raha#nawaheshimu.
yan kwa nidhamu nawapa tick,hapo hamujambo.Eee sisi ni wazuri...
Santeyan kwa nidhamu nawapa tick,hapo hamujambo.
Habari JF...
Hua najiuliza mbona siwaoni waKenya kune love connect....
Au na nyie mna jukwaa lenu la love connect???
Jamani kikuyu,luhyas etc hamtutaki wanawake wa tzee???
Na nyie Kenyan female hamtaki mabwana zetu???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1]Mamanzi wa Kenya wanapigaga mbaya sana.
Tumechoka watzee hamna pesa saev,JPM kawabanaWakenya wacha wapambane wenyewe na sisi watz tunawezana wenyewe
Haha hatwaogopiMamanzi wa Kenya wanapigaga mbaya sana.
WAKO BIZE WANASAKA CHAPAAHabari JF...