๐—ช๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ด๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—น๐—ผ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ง๐—ฒ๐˜€๐—น๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Wakenya hii balaa ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Wakenya bhana wamebaki midomo wazi baada ya gari lenye muonekano wa kipekee kama Tesla Cybertruck kuonekana likipita katika barabara za Karatina! ๐Ÿš˜๐Ÿคฏ

Kinachowafanya watu washangae zaidi ni madai kwamba gari hilo limetengenezwa nchini Kenya! ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‘



Je, kweli mafundi wa Kenya wameamua kuonyesha uwezo wao kwa kuunda gari lenye muonekano wa kisasa kama huu, au ni muundo tu unaofanana na Cybertruck ya Elon Musk? ๐Ÿ‘€

Ebu tuambie Kama gari hili lingetengenezwa Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, ungekuwa tayari kulinunua? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ

#BongoTech255 #TeslaCybertruck #Kenya #Teknolojia #
Ubunifu
 

Attachments

  • 1_20261027_134213_0000.png
    2.1 MB · Views: 9
Hadi Raha ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ