Wakenya kushinda na njaa ili kununua Airtime

Wakenya kushinda na njaa ili kununua Airtime

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,361
Reaction score
2,378
Ni habari niliyoisikia jana katika radio moja ya Clouds FM kuwa wakenya wengi hushinda na njaa ili wanunue Aitime.

Hii imekaaje wadau... Bora mawasiliano au bora lishe?
 
Nachojua mimi Wabongo wengi (haswa wenye maisha ya kuunga-unga) hunua vocha kisha upigia ndugu wa karibu ili wajue watakula vipi?
 
Nachojua mimi Wabongo wengi (haswa wenye maisha ya kuunga-unga) hunua vocha kisha upigia ndugu wa karibu ili wajue watakula vipi?
Simu anaweza kubip watu kadhaa akatokea mmoja akaokoa jahazi
 
Kiafya si mbaya. Madhara ya kulakula mara nyingi nayo twayajua.
 
Kwenye airtime unaweza kupiga ukapata madeal zaidi na zaidi, ila kula ni nzuri pia na wakati mwingine ni mbaya....inategemea unakula nini na kwa wakati gani. Kama ni ku"skip" lunch na kupata dinner au ku"skip" dinner na kupata lunch sio mbaya sana. Kwasababu kama wangekuwa hawali kabisa wangekufa.
 
Kuwa na simu bila air tym ni kama kubeba gobore bila risasi
 
Back
Top Bottom