Wakenya kutaja mali za Watumishi wa Umma na kuwauliza wamezipataje!?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
Baada ya kufanikiwa kwa kiasi kwenye maandamano ya kuzuia muswada wa sheria ya fedha uliopitishwa na wabunge usisainiwe na Mh Rais,Wakenya sasa wanakuja na namna nyingine ya kuwatambulisha wezi wa mali ya Umma,Wananchi wa Kenya wameonelea kutaja mali za watumishi wa Umma,wabunge na mawaziri ili kila mkenya azijue,watataja mshahara wa waziri au mtumishi wa umma aina ya gari ya kifahari anayomiliki na namba zake ili wakenya wote wamuulize amepataje gari hiyo ya kifahari wakati mshahara wake ni mdogo,kwa namna hiyo wezi wote wa mali ya umma hawatakula pesa ya wizi kwa raha wakiwa Kenya.

Niulize swali ndugu zangu,Je wanafanya all that for show, kwa issue ya maandamano tuliyoyaona that aint no such thing as for show pale wananchi walipoingia bungeni hadi Ikulu,katiba ya Kenya yenye kuwalinda waandamanaji iliwasaidia waandamanaji hao walioandamana kwa siku tatu kufanikiwa kushawishi Bunge kuondoa baadhi ya vifungu ikiwemo ongezeko la 16% ya Kodi kwenye Mikate na Kodi ya Kutuma Fedha kwa Simu,katiba inayowalinda waandamanaji ili wasaidia waandamanaji hao kuja na ujumbe unaosomeka kama "Chukua Bunge" yakilenga kuonesha kuwa bunge lisitumiwe na Serikali katika kuhalalisha mambo yanayowaumiza wananchi kupitia Sheria,

Tafakari tunduizi,je Kenya wanatafuta visibility tu kwenye mitandao,kila walichodai wamepata ila maisha yanawazidia na kuwa magumu hadi wanaandamana!? tunaweza kusema ni upuuzi mtupu hiyo katiba imewaletea nini na wanalia njaa kila siku!! tuwabeze kidogo kama Wakenya wangekuwa wanajitambua wangetafuta solution ya kweli sio kujichosha barabarani,ukabila tu unawasumbua!!😂 Inawezekana kweli wametafuta solution,bunge lao wamekaa wameona waje na sera hiyo,lakini je Wakenya washawahi kuisoma hiyo sera na kuielewa? Je ni kweli inaenda kuongeza gharama za maisha mara dufu, kwa hiyo ndio maana Generation Z yaani vijana waliozaliwa mwaka 2000 wakaamua kuandamana? Ila kwa akili zangu za Kiluguru nasema kwenye hiyo sera viongozi hawatopata shida,ila wananchi itawa cost na wao ndio wapiga kura,

Nimalize kwa tafakuri jadidi,hivi Ulaya na advancement walizonazo bado watu wanaandamana serikali inapozingua!? kama wanaandamana itakuwa ni wajinga? ni mawazo yangu tu ya kiluguru au ninyi mnaonaje!? Maana hapa bongo unahisi bila maandamano wanatuelewa tu,sisi ilimradi tulale usingizi mwororo ,Gen Z mmoja aliniambia wabongo tuna ujinga mwingi Sana,Mimi nikamwambia ninyi Wakenya mna ukabila na ukabila ni mbaya,akasema ujinga ni mbaya zaidi nikamwambia Mwalimu alisema ujinga unaisha ila upumbavu ni kipaji kama ilivyo ufupi,akasema wee enda uko ukafanye matembezi ya mshikamano na Chadema.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
 
Kenya wanatafuta visibility kwenye mitandao by taking all that risk?
Maaan you have no idea

Siwasifii, but what happens when viongozi waliowachagua hawatimizi yale wanayo wataka wananchi instead wanafuata matakwa yao?

Wananchi wakae kimya ? Wakiangalia kikundi cha watu wachache wakifaidika ili hali wao wakiwa opressed?

Kutaja mali zi viongoz maybe wameenda too far, but kenyan youth wameshapoteza imani na viongoz wao
Bad news is viongozi hawa they wanted this
 
Chuma kimekula chuma, sema kimeumana.

Wakimaliza huko waseme sh ngapi, tuwakodi waje watusaidie na huku GIZANI kwetu, nchini DANGANYIKA
 
Baada ya kufanikiwa kwa kiasi kwenye maandamano ya kuzuia muswada wa sheria ya fedha uliopitishwa na wabunge usisainiwe na Mh Rais,Wakenya sasa wanakuja na namna nyingine ya kuwatambulisha wezi wa mali ya Umma,Wananchi wa Kenya wameonelea kutaja mali za watumishi wa Umma,wabunge na mawaziri ili kila mkenya azijue,watataja mshahara wa waziri au mtumishi wa umma aina ya gari ya kifahari anayomiliki na namba zake ili wakenya wote wamuulize amepataje gari hiyo ya kifahari wakati mshahara wake ni mdogo,kwa namna hiyo wezi wote wa mali ya umma hawatakula pesa ya wizi kwa raha wakiwa Kenya.

Niulize swali ndugu zangu,Je wanafanya all that for show, kwa issue ya maandamano tuliyoyaona that aint no such thing as for show pale wananchi walipoingia bungeni hadi Ikulu,katiba ya Kenya yenye kuwalinda waandamanaji iliwasaidia waandamanaji hao walioandamana kwa siku tatu kufanikiwa kushawishi Bunge kuondoa baadhi ya vifungu ikiwemo ongezeko la 16% ya Kodi kwenye Mikate na Kodi ya Kutuma Fedha kwa Simu,katiba inayowalinda waandamanaji ili wasaidia waandamanaji hao kuja na ujumbe unaosomeka kama "Chukua Bunge" yakilenga kuonesha kuwa bunge lisitumiwe na Serikali katika kuhalalisha mambo yanayowaumiza wananchi kupitia Sheria,

Tafakari tunduizi,je Kenya wanatafuta visibility tu kwenye mitandao,kila walichodai wamepata ila maisha yanawazidia na kuwa magumu hadi wanaandamana!? tunaweza kusema ni upuuzi mtupu hiyo katiba imewaletea nini na wanalia njaa kila siku!! tuwabeze kidogo kama Wakenya wangekuwa wanajitambua wangetafuta solution ya kweli sio kujichosha barabarani,ukabila tu unawasumbua!!😂 Inawezekana kweli wametafuta solution,bunge lao wamekaa wameona waje na sera hiyo,lakini je Wakenya washawahi kuisoma hiyo sera na kuielewa? Je ni kweli inaenda kuongeza gharama za maisha mara dufu, kwa hiyo ndio maana Generation Z yaani vijana waliozaliwa mwaka 2000 wakaamua kuandamana? Ila kwa akili zangu za Kiluguru nasema kwenye hiyo sera viongozi hawatopata shida,ila wananchi itawa cost na wao ndio wapiga kura,

Nimalize kwa tafakuri jadidi,hivi Ulaya na advancement walizonazo bado watu wanaandamana serikali inapozingua!? kama wanaandamana itakuwa ni wajinga? ni mawazo yangu tu ya kiluguru au ninyi mnaonaje!? Maana hapa bongo unahisi bila maandamano wanatuelewa tu,sisi ilimradi tulale usingizi mwororo ,Gen Z mmoja aliniambia wabongo tuna ujinga mwingi Sana,Mimi nikamwambia ninyi Wakenya mna ukabila na ukabila ni mbaya,akasema ujinga ni mbaya zaidi nikamwambia Mwalimu alisema ujinga unaisha ila upumbavu ni kipaji kama ilivyo ufupi,akasema wee enda uko ukafanye matembezi ya mshikamano na Chadema.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
Mwandishi, hukuitendea haki hii mada yako hata kidogo.
Uandishi huu unaumiza akili.

Hueleweki unaelezea jambo gani hasa. Ni mkoroganyo kila sehemu.

Kwa kile kidogo nilichofikiri nimekielewa kwenye habari yako. Nawaunga mkono hao waKenya kwa juhudi za kupambana na hao mafisadi wanaovuruga mali zao. Kuwataja wao na mali zao ni hatua moja nzuri ya kupambana na kundi hilo ovu.
 
Back
Top Bottom