Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Mimi si mpenzi sana wa filamu za kiafrika labda za South na zimbabwe kama neria, yellow card, Jerusalem na nyingine na soap operas kama isidingo n.k.
Ila kuna baadhi ya tamthlia za kenya nilianza kujikuta nazipenda miaka hiyo ya 2014/15 kwa dstv lakini nilikuwa nimemezwa zaidi na series.
Recently nimeajikuta kwa dababu ya familia nimeanza tena kufuatilia tamthlia mara moja moja nikiwa home.
Nikichogundua Wakenya wanajua kuandika na kudirect.
Ukitazama KINA, Crime and justice ukatazama IGIZA utaona Juakali sijui Huba bado sana.
Kwanza story zao zina mtiririko unaomake sense hazikuachi sana na maswali. Yani mwandishi anahakikisha mambo mengi yana majibu sio bora liende.
Pili story zetu zinafika sehemu ni kama zinakuwa haziendi story imesimama, ila story za wakenya ziko quick na wana matukio mengi.
Ukitazama session ya Kina ya kesi ya bella dhidi ya nana mandi, yani pale mahakamani wanasheria walivyokuwa wana argue unaweza kuhisi pale ni mahakamani kweli. Wanavyojenga hoja, mwenzake akazipinga utajua huenda akiyeandika alikuwa mwanasheria.
Kenyans wako mbele kwenye upande wa movies lakini wana haki maana wameanza zamani enzi tunawatazama akina masakuu, makanyaga, mama kayai. Igiza imenifanya hadi niwaze lipia showmax maana dstv wanaonyesha weekend tu