joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Majirani mnaendeleaje?. Kawaida kutoa uhai wa mtu ni lazima kuwe na sababu, iwe sababu ya msingi au ya kipuuzi, lakini ikifikia hatua ya mtu kutoa roho ya mtu kwa lengo la kujidhalilisha, hii inakua ni hatua mbaya ambayo hata Wanyama porini hawafanyi unyama huu.