acha blaa blaa...chagua UHURUjamaa humjui hata odinga...sijui unazungumza kana kwamba wewe ndugu yake wa karibu...kama hata sisi wakenya kuna wale hatumfahamu vizuri hasaa kwa mambo ya corruption sijui wewe umemfahamu vipi...huwezi ukamwangalia mtu usoni ama akizungumza ktk mkusanyo flani na ukajua kuwa ndiye kiongozi mwafaka...
umeongea kweli aisee nimeangali hapa k24 radio station kwa ajili ya kalenjin imefunguliwa. can' t believe tribalism is killing kenyans
kwani redio za dini zinatangaza kwa lugha za makabila? radio na tv za dini hutangaza kwa kiswahiliHapa Tanzania kwa hiyo tuna udini pia maana kuna redio za kidini? Watu wakifungua redio ama runinga ya kabila lao wewe inakuhusu nini?
kwani redio za dini zinatangaza kwa lugha za makabila? radio na tv za dini hutangaza kwa kiswahili
Serikali siyo wapumbavu kuzuia radio na tv za kikabila. kinachowatesa wakenya ndo hicho.msituletee upuuzi wenu tanzania hapa.Sasa wewe watu wakiongea lugha zao inakuhusu nini? Kama huelewi maana yake sio mlengwa.
Serikali siyo wapumbavu kuzuia radio na tv za kikabila. kinachowatesa wakenya ndo hicho.msituletee upuuzi wenu tanzania hapa.
Kwangu Mimi uhuru namuona ni mzur kuliko RailaKwanza nianze kujitambulisha kuwa mimi nimfatiliaje mzuri wa siasa za Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla.
Let's go straight to the point...
Kwa nini nawashauri mumchague Raila Odinga ?.
1. Ni kiongozi mzalendo na mwenye uchungu na nchi yake, hili linathibitishwa na uvumilivu wake pamoja na his determination towards the presedential post election.
2. Ni kiongozi aliye systematic anafanya mambo kuendana na taratibu na sheria za nchi ukimlinganisha na Uhuru hilo halipingiki.
3. Kiongozi ambaye teyari ana mahusiano mazuri na viongozi wa jumuiya ya Afrika Mashariki e.g.John Magufuri, Kagame,Museveni. Kwa upande wa Uhuru yeye analeta ushindani usio na tija na nyingi ameishia kuwa looser.(coalition of the willing, Uganda oil pipeline, banning of tz products entering Kenya, deportation of tanzanians during Uhuru vs KIKWETE saga).
4. I'm sorry to say this but tribalism will never be eradicated by Uhuru or to be specific minimizing its effects.. as a Tanzanian someone's trible it's just a matter of a joke there is no tribalism in Tz I can speak confidently. Raila is the right man for eradication of this issue ,
5. Corruption is a world wide problem lakini Kenya it's too much.. speakin from experience, Raila is the right man to remove this issue. Uhuru will never solve this issue as a matter a fact most of these people(corrupt individuals) are his friends or friends of his friends. He'll never convict people who support him and he shares much history with them just forget it.
6. He's a man of his words, he's not merely a politician. (Magufuli version of Kenya ), just joking. Expect more actions from him rather than just words which appeal to a large audience without clear action.
7. He's an open minded person whose analytical and not closed to a certain development ideology. This can be observed in the way ana plan ku solve the issue of land/housing ambayo sio siri huko kwenu ni tatizo kubwa sana.
8. He has reasonable solutions(short and long term) to the issue of food insecurity hapo Kenya compared to Uhuru.
9. He's a true patriot
10. He has a good reputation around the whole of East Africa compared to Uhuru , who most of people apart from few Kenyans see him as merely a person who amebebwa na jina la baba yake pamoja Arap Moi. His good part is a humble good speaker but not a visionary to a large extent..
common sense is not common..Hamna hoja ya msingi uliyonayo, Rwanda, Burundi na Somalia kote wanachinjana pamoja na kuongea lugha moja.
Bora umejigundua kuwa hutumii common sense.common sense is not common..
Ha ha ha ha imepenya hiyo. The wise men knows.Bora umejigundua kuwa hutumii common sense.
Kwanza nianze kujitambulisha kuwa mimi nimfatiliaje mzuri wa siasa za Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla.
Let's go straight to the point...
Kwa nini nawashauri mumchague Raila Odinga ?.
1. Ni kiongozi mzalendo na mwenye uchungu na nchi yake, hili linathibitishwa na uvumilivu wake pamoja na his determination towards the presedential post election.
2. Ni kiongozi aliye systematic anafanya mambo kuendana na taratibu na sheria za nchi ukimlinganisha na Uhuru hilo halipingiki.
3. Kiongozi ambaye teyari ana mahusiano mazuri na viongozi wa jumuiya ya Afrika Mashariki e.g.John Magufuri, Kagame,Museveni. Kwa upande wa Uhuru yeye analeta ushindani usio na tija na nyingi ameishia kuwa looser.(coalition of the willing, Uganda oil pipeline, banning of tz products entering Kenya, deportation of tanzanians during Uhuru vs KIKWETE saga).
4. I'm sorry to say this but tribalism will never be eradicated by Uhuru or to be specific minimizing its effects.. as a Tanzanian someone's trible it's just a matter of a joke there is no tribalism in Tz I can speak confidently. Raila is the right man for eradication of this issue ,
5. Corruption is a world wide problem lakini Kenya it's too much.. speakin from experience, Raila is the right man to remove this issue. Uhuru will never solve this issue as a matter a fact most of these people(corrupt individuals) are his friends or friends of his friends. He'll never convict people who support him and he shares much history with them just forget it.
6. He's a man of his words, he's not merely a politician. (Magufuli version of Kenya ), just joking. Expect more actions from him rather than just words which appeal to a large audience without clear action.
7. He's an open minded person whose analytical and not closed to a certain development ideology. This can be observed in the way ana plan ku solve the issue of land/housing ambayo sio siri huko kwenu ni tatizo kubwa sana.
8. He has reasonable solutions(short and long term) to the issue of food insecurity hapo Kenya compared to Uhuru.
9. He's a true patriot
10. He has a good reputation around the whole of East Africa compared to Uhuru , who most of people apart from few Kenyans see him as merely a person who amebebwa na jina la baba yake pamoja Arap Moi. His good part is a humble good speaker but not a visionary to a large extent..
Yeah Tanzanians are not perfect but can not be compared to Kenyans in that aspect ya utaifa, Ni kawaida kwa Wakenya kuchagua mtu kutokana na kabila lake na sio uwezo wa kiongozi husika. Huko kitu hakipo Tanzania. "Numbers don't lie" stats zina prove hivyo kijana
Thank you kwa hoja zako1. Mzalendo? 1982 coup. Moi was just 4 years into office. Ata hakuwa dikteta bado.
Wizi wa mali ya umma: Molasses, Triton, Maiza scandal, Kazi kwa Vijana.
2. Anafanya mambo kuendana na taratibu na sheria za nchi: Amesema na akarudia kwamba wakati huu akiona ameibiwa kura, hataenda kortini. Kumaanisha ana mipango ingine ya kando. Hii sio mara yake ya kwanza.
3. Uhusiano mzuri: Kwa muda wa miaka 4 iliyopita, foreign policy ya Kenya iliimprove maradufu. Conferences zisizohesabika, maraisi wasiohesabika etc. walifika Kenya. If its working, why change it.
Shida imekuwa tu kati ya Kenya na Tanzania. Ila si Magufuli na Kenyatta.
4. Tribalism: I'm sorry to say this but Raila as Prime Minister filled his office with relatives and other Luos. Tribalism haitaangamizwa na any of the current leadership.
5. Corruption: Wizi wa mali ya umma ulifanywa na Raila - Molasses, Triton, Maiza scandal, Kazi kwa Vijana.
Wakati huu, anaye finance campaign ya Raila ni Jimmy Wanjigi. Probably the most corrupt person in Kenya. Ati katika contract kubwa lazima alipwe 10%.
6. Man of his word: Kama Raila ni man of his word, saa hii Kalonzo ndiye angekuwa presidential candidate. (2013 MOU).
7. Open minded: Maybe.
8. He has reasonable solutions: Ana uongo mwingi sana ilhali apate urais. Kudanganya watu mchana ati rent itashuka within 100 days, cost of living itashuka within 100 days, free secondary education immediately. etc.
Ameahidi Canaan ilhali afike Ikulu. After hapo ukweli wa mambo utatokea.
9. True patriot: He is the one who has always insisted on foreigners to come do Kenyan jobs. Ata director wake wa communications ni mzungu.
10. Good reputation: Hapo watu wa EAC ndio watasema. Lakini it doesn't matter. Magufuli ashaharibu jina lake Kenya, lakini watanzania wengi wanampenda.
basi siasa zao zina manufaa,maan bajeti yao hawategemei hela ya mzungu,...yaani kusaini mikataba yakuibia nhi yako unasema ni utaifa?,kweli tuko tofautiYeah Tanzanians are not perfect but can not be compared to Kenyans in that aspect ya utaifa, Ni kawaida kwa Wakenya kuchagua mtu kutokana na kabila lake na sio uwezo wa kiongozi husika. Huko kitu hakipo Tanzania. "Numbers don't lie" stats zina prove hivyo kijana
Thank you kwa hoja zako
1. Kukurekebisha ni Baba yake n?do ambaye anatuhumiwa (allegedl) there is still no proof . And the one who was going to be President sio yeye wala Baba yake but air force commander.
2. Hiyo kauli ni tata sitaijadili coz him saying that doesn't directly mean he's goin to use violence. Let's say according to my instincts it means I will retire politics
3. Foreign policy ya Kenya haija improve that much.. I don't agree with you, come with numerical proof how those policies zimeleta impact katika uchumi/jamii na mifano halisi ya hizo conferences.
4. O.k. may be ur right to a certain extent but Mipango ya Raila ya jinsi ya kuondoa ukabila ina make sense kuliko ya Uhuru.
5. Rushwa imeenea sana nchini Kenya so hizo tuhuma nyingi, huwa ni watu wengine wamefanya sema kwa kuwa yeye ni mkuu wa wizara zote huhusishwa. Hakuna convisin proof he's guilty of those allegations.
6. Ni swala lililochukuliwa kwa maslahi ya chama sio maamuzi yake binafsi.
8.mbona free education Tanzania imewezekana, .. sioni swala gumu hapo.... let me remind you uhuru ana sera za uongo zaidi yake nikianza shusha hapa it will be a hilarious post.
9. You misquoted him, allowing foreigners to work doesn't mean Kenyans won't have jobs... that's a true backward mentality, I can say South African natives mentality (excuse me if I'm out of context ) which is unacceptable in free market economy like Kenya .