Wakenya : Mlituwekea kauzibe, Leo Mmesahau?

Tulichoma vifaranga
 
Niletee figures sitaki maneno mingi za kichawi. Bring on the figures.

Here was a massacre to your lazy robbers in the name of soldiers in Somalia but your authorities lied the real figures of more than 150 killed, more than 400 KDF soldiers killed and I did not mention civilians from garisa, mpeketoni, westgate, and other dozens of attacks
 
Kadanganye wapuuzi, mmeshauwawa kama 600 lakini mlioua hawazidi 20
Wewe naye waongea kama mtu asiye na akili kabisa. Kismayu, Afmadow, Ras Kamboni na the whole of eastern sector of Somalia ilitekwa na KDF chini ya mwaka mmoja. Peleka uongo huko kwa Watanzania wenzako ambao ni rahisi kuwadanganya, sio hapa kwa watu wazima.
 
Ni Kweli INAUMA Ila Ndio Ukweli Mchungu
 
Narudia tena wakenya wamekuwa si marafiki zetu, bali ni accidental neighbours.
 
Na nyie mtaambiwa msijenge Stiglers hizi siasa
 
Kismayo hapakua na Mapigano yoyote, Alshababu waliondoka baada ya kuwa walikuwa wiki, kumbuka kwamba Alshabab sio jeshi linalomiliki silaha kubwa na za kisasa, hawana uwezo wa kupigana vita ya moja kwa moja, wao hutumia gorilla war tactics, walipogundua KDF wanakaribi Kismayu, waliondoka na kukimbilia msituni.
 
hao wanajeshi mia nne kwn hawana familia...bwahahaa.....
endelea kueneza chuki dhidi ya wakenya tu...mili ililetwa kitu 150 hv na basi..haya hao 250 wataka kusema waliletwa kisirisiri..heheeee...kweli uchawi tanzania ni janga la taifa...

unafikiria ni mkenya gani anaweza kubali eti mili isiletwe na mtu wao asionekane...ungeliona kivumbi kenya.....hku watu hawaburuzwi..danganya raia kw vitu vngne wala si mili ya wapenda wao...alafu nikuulize...hyo mili ya hao wanajeshi 250 mazishi yalifanyika wapi...

bwahahaa...povu rukhsa..
 
Mkuu ishasemwa kuna athari za kimazingira na kwa wanyama..what more should we say
 
Bring the figures si maneno za mchawi kama wewe.
Countrymen from the powerful military state of Kunya are killed like chickens in the slaughter house at a go by barefoot boys. 😂😂😂

 
Gorilla war------ guerilla war
Wakenya waliitwa monkeys na mchina na wewe umetuhakikishia kwamba nyie ni gorillas. Mtatandikwa sana. Watz wanaogopa wakenya SANA
 
Ni Kweli INAUMA Ila Ndio Ukweli Mchungu
Chunguza Somalia ilikuwaje kabla Kenya kuingia huko kupepeta Al-shabab mwaka wa 2012. Kabla ya Kenya kuingia Somalia, Shababi walikuwa wanacontrol Somalia yote isipokuwa Mogadishu ambayo ilikuwa imeshatekwa na UPDF ya Uganda. Isipokuwa Mogadishu, towns zingine zote za Somalia zilikuwa chini ya Al-shabab na huo ni ukweli ambao pia Amisom wamedhibitisha. Kenya ilipoingia Somalia, ilirarua Shababi na kuwaondoa from the Eastern, central and western sectors. Shababi saa hii wako southern sector pekee. Shababi tungewamaliza lakini Marekani walilia sana eti tuingie Amisom kwa sababu tuliingia Somalia bila ruhusa ya U.N.
 
Bado walichampion EA political federation...bado haikupita kama wanavyotaka...koz lengo lao lilikuwa ardhi
 
Gorilla war------ guerilla war
Wakenya waliitwa monkeys na mchina na wewe umetuhakikishia kwamba nyie ni gorillas. Mtatandikwa sana. Watz wanaogopa wakenya SANA
Rekebisha na hapo niliandika "wiki" badala ya "weak". Vipi kuhusu ile tarehe ya Harusi yetu September?
 
That applies for EPA only, what about CoW, about tourist visa, about your cows, about blocking our vans to JKIA, all these could be go on without all countries to agree, but failed because of Tanzania's influences in EAC
You will remain inferior Kenya ndo maana mnalia Kenya imeiba mlima yenyu. What a satanic nation!
 
The video says over 60 where are those 400? Ama English ndo huelewi?
 
You will remain inferior Kenya ndo maana mnalia Kenya imeiba mlima yenyu. What a satanic nation!
Usikimbie mada, ukweli ni kwamba Tanzania ndio taifa kubwa hapa EAC, tunachotaka ndio kinatendeka hapa EAC. Mkileta ujinga tunawatumia J-7 fighter jets saba pekee zinawasambaratisha, you can't intercept them or challenge them.
 
Maneno ya mchawi hayo. Show us prove that supports your claim you lazy witch.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…