Mkuu ishasemwa kuna athari za kimazingira na kwa wanyama..what more should we say
Maneno ya mchawi hayo. Show us prove that supports your claim you lazy witch.
Mnawafundisha na kiswahili sasaDawa hapo ni Tanzania kujenga ile barabara yetu ya lami, wameweka mguu sisi tuweke gogo.
Ilishaanza kujengwa siku nyingi kila mwaka inatengezwa bajeti sema ndo hivyo miradi ya ldc huwa haiishi,hata bajeti ya mwaka huu imoDawa hapo ni Tanzania kujenga ile barabara yetu ya lami, wameweka mguu sisi tuweke gogo.
Mchana ni malaika usiku ni shetaniLeo nikiwa nimepumzika nikaamua kuingia JF kusoma mada mbalimbali na moja ya mada zilizonishangaza ni ile ya ujenzi wa bwawa la umeme mto mara. Nimeshangaa jinsi Wakenya wanavyo jitutumua kwa nini wajenge bwawa huku wakitulalamikia sisi kutotaka wao kujenga. Moja ya hoja ya msingi iliyoelezwa na wadau ni ile ya kuharibu mazingira, kutokana na ecosystem ya Serengeti kutegemea mto mara.
Tukirudi nyuma, miaka michache iliyopita watu wa mkoa wa mara walitaka kujengewa barabara kuelekea Musoma kupitia mbuga ya Serengeti, kupunguza umbali wa safari ukilinganisha na huu ya sasa. Wakenya walipiga kelele sana, wakizunguka dunia nzima kupinga hiyo barabara isijengwe kwasababu za kimazingira ikiwa ni pamoja na kusumbua wanyama ambao huenda hadi Kenya.
>>> Wakenya waanza kulialia baada ya tanzania kuthibitisha kuanza ujenzi wa barabara kupitia serengeti
>>> Nyie kenya ujenzi wa barabara mbuga ya serengeti nini tatizo
Cha kushangaza leo wameanzisha mpango wa kujenga bwawa la kuzalisha umeme mto Mara na Tanzania imekuwa ikipinga kuwa bwawa hilo litaharibu ecosystem ya serengeti. Sasa kama mlipinga barabara yetu kujengwa kwasababu ya mazingira inakuwaje leo msiwe rafiki wa hayo mazingira kwa kujenga bwawa mbugani?
Pumba tu....Kenya has the most powerful military in East Africa, Kenya has the most quality education in East Africa, Kenya is the only Democratic country in East Africa.
Nyie mlionywa dhidi ya kujenga struggling GORGE mkawa wakaidi.
Kila MTU afanye yake bila kusumbuliwa
Kenya has neutralize Al- Shaabab single handedly. For the case of attack even USA,France and other powerful States are being attacked by terrorist.
HahahahahaKenya has the most powerful military in East Africa, Kenya has the most quality education in East Africa, Kenya is the only Democratic country in East Africa.
Kadanganye wapuuzi, mmeshauwawa kama 600 lakini mlioua hawazidi 20
Tunaomba ushahidi kwamba Kenya iliwatoa Alshabab kutokana Central and Western towns of Somalia, Kenya iliwakuta Uganda, Burundi, Ethiopia na Djibouti wapo Somalia kwa zaidi ya miaka mitatu nyuma, hao ndio waliodhohofisha Nguvu za Alshabab na kuwafurusha kutoka maeneo jaribu yote ya Somalia, isipokua South east ambako ndio KDF walikomboa nusu ya eneo walilokua wabalishikilia. Kenya iliwakuta Alshabab wameshakua dhahifu baada ya kupigana kwa muda mrefu na majeshi ya nchi NNE, kabla ya Ethiopia kuondoka baada ya kuona kwamba nguvu za Alshabab zimepungua sana.Chunguza Somalia ilikuwaje kabla Kenya kuingia huko kupepeta Al-shabab mwaka wa 2012. Kabla ya Kenya kuingia Somalia, Shababi walikuwa wanacontrol Somalia yote isipokuwa Mogadishu ambayo ilikuwa imeshatekwa na UPDF ya Uganda. Isipokuwa Mogadishu, towns zingine zote za Somalia zilikuwa chini ya Al-shabab na huo ni ukweli ambao pia Amisom wamedhibitisha. Kenya ilipoingia Somalia, ilirarua Shababi na kuwaondoa from the Eastern, central and western sectors. Shababi saa hii wako southern sector pekee. Shababi tungewamaliza lakini Marekani walilia sana eti tuingie Amisom kwa sababu tuliingia Somalia bila ruhusa ya U.N.
😂😂😂😂 Exactly, tena wamechapwa kwa gharama zao wenyeweWakenya 800 waliuwawa pale al adde sasa unavyosema Kenya imepoteza 600 sio kweli
Labda ulitaka kuandika 6000
Wewe haujui historia ya Somalia afadhali ufunge domo kubwa ... Kabla KDF kuingia Somalia hakuna lolote lilikua linafanyika huko, Ethiopia waliingia Somalia 2005 na mwaka mmoja baadae wakajitoa baada ya kigundua alshabaab wanazidi kuongezeka.Tunaomba ushahidi kwamba Kenya iliwatoa Alshabab kutokana Central and Western towns of Somalia, Kenya iliwakuta Uganda, Burundi, Ethiopia na Djibouti wapo Somalia kwa zaidi ya miaka mitatu nyuma, hao ndio waliodhohofisha Nguvu za Alshabab na kuwafurusha kutoka maeneo jaribu yote ya Somalia, isipokua South east ambako ndio KDF walikomboa nusu ya eneo walilokua wabalishikilia. Kenya iliwakuta Alshabab wameshakua dhahifu baada ya kupigana kwa muda mrefu na majeshi ya nchi NNE, kabla ya Ethiopia kuondoka baada ya kuona kwamba nguvu za Alshabab zimepungua sana.
Nimesema yote. Wacha watu waamue nani kati yangu na wewe anasema ukweliTunaomba ushahidi kwamba Kenya iliwatoa Alshabab kutokana Central and Western towns of Somalia, Kenya iliwakuta Uganda, Burundi, Ethiopia na Djibouti wapo Somalia kwa zaidi ya miaka mitatu nyuma, hao ndio waliodhohofisha Nguvu za Alshabab na kuwafurusha kutoka maeneo jaribu yote ya Somalia, isipokua South east ambako ndio KDF walikomboa nusu ya eneo walilokua wabalishikilia. Kenya iliwakuta Alshabab wameshakua dhahifu baada ya kupigana kwa muda mrefu na majeshi ya nchi NNE, kabla ya Ethiopia kuondoka baada ya kuona kwamba nguvu za Alshabab zimepungua sana.
Lete Ushahidi kwa unayosema, Ethiopia has biggest and well equipped army in the region, actually Ethiopia Army is equal to TZ + KE + UG +RW in terms of number of troops and military Equipments, while our countries buy nearly all our military weapons, Ethiopia do Manufacture/ assembles 50% person of their weapons, including attack helicopters, Armored vehicles and tanks.Wewe haujui historia ya Somalia afadhali ufunge domo kubwa ... Kabla KDF kuingia Somalia hakuna lolote lilikua linafanyika huko, Ethiopia waliingia Somalia 2005 na mwaka mmoja baadae wakajitoa baada ya kigundua alshabaab wanazidi kuongezeka.
Kusema ni kweli umesema, na ninaamini hayo uliyoyasema ni kweli tupu kwasasa umeyapata toka "reliable source", ni vizuri ukaiweka hapa hiyo source ili kila mmoja a one, hii itasaidia watu waamua kwa haki nani kati yetu anasema ukweli. Mimi ulipoomba ushahidi kwamba Kismayo KDF ilikomboa bila mapigano nilikuwekea, hii itasaidia kupunguza mazungumzo ya mitaani, " We need evidence based discussion "Nimesema yote. Wacha watu waamue nani kati yangu na wewe anasema ukweli
Yes ethiopian troops is regarded very highly, they also have a history of being the only African county never got fully colonized.... But since we are talking about evidenced based discussion here, lets not ely on reputation or heresay, rather lets rely on things that actually happened and are documented by evidence.Lete Ushahidi kwa unayosema, Ethiopia has biggest and well equipped army in the region, actually Ethiopia Army is equal to TZ + KE + UG +RW in terms of number of troops and military Equipments, while our countries buy nearly all our military weapons, Ethiopia do Manufacture/ assembles 50% person of their weapons, including attack helicopters, Armored vehicles and tanks.
Ethiopia army has very big experience on the field than most of our countries, because their army has been fighting frequently than most of Us. Never compare Ethiopia Army with you stupid KDF. Ask yourself why Alshabab never attack Ethiopia despite the fact that Ethiopia army had been attacking them before Amisom?
Thank you sir for the facts and figures, i was too lazy to look it up. joto la jiwe natumai umetoshekaYes ethiopian troops is regarded very highly, they also have a history of being the only African county never got fully colonized.... But since we are talking about evidenced based discussion here, lets not ely on reputation or heresay, rather lets rely on things that actually happened and are documented by evidence.
1. Unlike Kenya, Ethiopia hua haina vyombo huru vya habari, Kwahivyo habari kama hii iliofanyika majuzi hautaisikia popote kwenye mainstream media, utazipata kwa tu blog twa kisomali . Kuna nyengine ilifanyika 2015 na ikasababisha Ethiopia ianze kuregesha wanajeshi wake upande wa Ethiopia..... Ingia hapa ujionee hilo tukio la 2015
Kumbuka kule Somalia Wanajeshi wa AU wamegawanywa katika Sectors, Ethiopia walipoanza kurudimpakani ikawacha eneo hilo exposed, hii ilisababisha KDF kujigawanya zaidi ili pia walinde hilo eneo manake lilikua haliko mbali na Kenya..
Uganda waliingia Somalia 2007, , Hii ni picha ya Alshabaab Controlled area 2009. Unaona hapo kwa Star ndani ya Mogadishu hapo ndo Uganda ilikua inapigana na alshabaab for control. miaka miwili baadae.
Kumbuka Ethiopia walikua Kismayu in 2005 kabla ya kujitoa, from this map you can see Alshaab was back in full control of all of South Somalia after Ethiopia withdrawal.
Alshabaab 2009
Source
KDF iliingia Somalia 2011 bila idhini ya AU/UN wala mtu yoyote, Miaka miwili baadae hivyo ndo picha ilivyokua
Source
Kama unavyoona,KDF walikua wanacontrol hilo eneo lote baada ya miaka miwili, Ethiopia nao walipoona KDF wameingia Somalia wakarudi pia hao na walikua wana control hilo eneo la blue wakisaidiana na wanamgambo wa asili ya kisomali wanaotoka ukoo flani ambao hausikizani na Alshabaab,.. Uganda na Burundi ambao ndo walikua Chini ya AU bado walikua wako hapo hapo Mogadishu na vitongoji..
Kama nilivyosema hapo juu, hilo tukio la 2015 lilisababisha Ethiopia kuregesha wanajeshi wake, kitu kilichofanya KDF wmbao wako na wanajeshi chini ya 3,600 kujigawanya zaidi ili ku patrol hio sector iliowachwa na Ethiopia,
Hivyo ndivyo Sector ziligawanywa baada ya KDF kujiunga na AMISOM.
Uganda ndo inaongoza with 6,700 troops,ikifwatwa na Burundi 5,432, Ethiopia 5,395, Kenya 3,664, Djibouti 960.
Kama unavyoona, Kenya iko ndani ya Sector 2, Lakini shambulizi ya kambi ya kijeshi lililofanyika Jan,2016 kwa kambi ya KDF iliokua na wanajeshi 200 ilifanyika Eladde ndani ya Sector 3 ambapo Ethiopia ndoo wanafaa walikua wanalinda, lakini baada ya kujiondoa KDF ilibidi ijipeleke huko manake ElAdde haiko mbali na Kenya.
2014, KDF ikiwa ishajiunga na AMISOM na inaendelea na kazi. Ethiopia ilikua inashikilia kaeneo kadogo sana, huko kwengine wameachia wanamgambo wa asili ya kisomali ambao hawasikizani na Alshabaab.... KDF na wanajeshi wake 3,600 bado inaendelea kupiga doria hilo eneo lote..
Source
Ukilinganisha hizo AMISOM sectors na maeneo ambapo Alshabaab bado hupiga Doria wazi wazi unajionea mwenyewe kua licha ya KDF kua na wanajeshi wachache zaidi ndio imefanyikiwa kushikilia doria kubwa zaidi, Uganda na Burundi ndani ya Sector 1 na sector 5 bado wanashikilia Mogadishu na vitongoji na pia hio barabara ya kuelekea Ethiopia ili magari yao yawe yanaweza kuleta mizigo hadi mogadishu.
Bonus: Ethiopia Defence industry ni ya kuigwa https://defence-blog.com/army/ethiopia-produces-israels-thunder-armored-vehicles-under-license.html
Wakenya ni zero brainsLeo nikiwa nimepumzika nikaamua kuingia JF kusoma mada mbalimbali na moja ya mada zilizonishangaza ni ile ya ujenzi wa bwawa la umeme mto mara. Nimeshangaa jinsi Wakenya wanavyo jitutumua kwa nini wajenge bwawa huku wakitulalamikia sisi kutotaka wao kujenga. Moja ya hoja ya msingi iliyoelezwa na wadau ni ile ya kuharibu mazingira, kutokana na ecosystem ya Serengeti kutegemea mto mara.
Tukirudi nyuma, miaka michache iliyopita watu wa mkoa wa mara walitaka kujengewa barabara kuelekea Musoma kupitia mbuga ya Serengeti, kupunguza umbali wa safari ukilinganisha na huu ya sasa. Wakenya walipiga kelele sana, wakizunguka dunia nzima kupinga hiyo barabara isijengwe kwasababu za kimazingira ikiwa ni pamoja na kusumbua wanyama ambao huenda hadi Kenya.
>>> Wakenya waanza kulialia baada ya tanzania kuthibitisha kuanza ujenzi wa barabara kupitia serengeti
>>> Nyie kenya ujenzi wa barabara mbuga ya serengeti nini tatizo
Cha kushangaza leo wameanzisha mpango wa kujenga bwawa la kuzalisha umeme mto Mara na Tanzania imekuwa ikipinga kuwa bwawa hilo litaharibu ecosystem ya serengeti. Sasa kama mlipinga barabara yetu kujengwa kwasababu ya mazingira inakuwaje leo msiwe rafiki wa hayo mazingira kwa kujenga bwawa mbugani?