Wakenya : Mlituwekea kauzibe, Leo Mmesahau?

eti ywatoa mfano na ethiopian airline eti mili ilichomeka mpka jivu ...alisahau ya kwamba familia zao walijitokeza na kuomboleza..sasa muulize ni familia gani eti wampoteze mpendwa wao na eti wakae kimya hta wasiomboleze kisa serikali
Familia nyingi sana za wakenya hadi Leo hazijapokea miili ya wapendwa wao, wala kujua walipo baada ya shambulio la El Ade na hakuna taarifa zozote toka Serikalini, wengi wameshakata tamaa.
 
Familia nyingi sana za wakenya hadi Leo hazijapokea miili ya wapendwa wao, wala kujua walipo baada ya shambulio la El Ade na hakuna taarifa zozote toka Serikalini, wengi wameshakata tamaa.
Hizo familia mbona hazijaongea na media za Kenya?
 
Familia nyingi sana za wakenya hadi Leo hazijapokea miili ya wapendwa wao, wala kujua walipo baada ya shambulio la El Ade na hakuna taarifa zozote toka Serikalini, wengi wameshakata tamaa.
hohohooooo...naona uko desperate sasa..bwahahaa..leta hzo familia za hao watu 250 hko youtube wakilalamika tuwaone...yani hutoki...ukichange gear niko na wewe...hapa mwisho utatoroka nakwambia....na km hao 250 waona hakuna usitokwe na povu...njoo taratibu u.nieleze nitakuelewa kaka...sindano lazima nikudunge lkn...

mara hoo,serikali imesficha...mara mili ilichomela na mingine imekatika vipande vipande..mara hoo ethiopian airways...sai uko youtube..hahaa..naona umekalia kuti kavu
 
..
Hizo familia mbona hazijaongea na media za Kenya?
kw akili zake za ccm anadhani habari km hzo kenya zitakaa youtube na kuozea hko...bwahaa..mi napenda hoja za wabongo km hz...huaga unamkamata vizuri...bora usimtusi tu..ju atachange story
 
Wanajeshi wa Kenya walio uliwa somalia ni zaidi ya 1200 kila siku Mbili anakufa mwanajeshi mmoja
 
Acha kutapatapa na kukimbia ukweli, nilimuambia Tony254, tatizo lenu ninyi ni kujifanya wajuaji na kupenda kujisifia wakati ukweli wa mambo ni kwamba nchi yenu haina uwezo na KDF ni very weak Army.

Kama mngekua mnafikiria, mngeibana Serikali yenu kutoa idadi ya watu kamili waliouliwa ama waliopotea katika shambulio la El adde, sio lazima miili yote ipatikane, lakini idadi ingesaidia. Raila Odiga na wapinzani walijitahidi sana kuitaka Serikali yenu itaje idadi ya waliokufa au kupotea lakini hadi Leo GoK imekataa kutoa idadi kamili, sasa watu wakisema ni zaidi ya 1200 vipi unapinga wakati GoK ambayo ndio yenye jukumu ya kutoa idadi imekataa kutaja idadi?.

Nimekuwekea hii article kutoka gazeti lenu la "Daily Nation" ya January 15, 2019, linasema hii, ninanukuu "The missing are missing and nobody knows whether they will ever be found, alive or dead. El Adde is an open wound.". https://mobile.nation.co.ke/news/Ba...till-linger/1950946-4935076-cly0u1/index.html

Pamoja na ushahidi wote huu, bado mtaendelea kubisha kutokana na ujinga wenu unaosababishwa na ukabila uliokithiri wa kulinga uzembe unaofanya na GoK kwasababu tu inaongozwa na mkikuyu mwenzako, stupid kabisa.
 
Usijitie hamnazo. Familia zilizoongea kwa media hazijapita ishirini
Sasa ulitaka familia zote ziongee na ziwekwe youtube?, kwani wale watu 1500 waliokufa wakati wa PEV 2008, tulijua kwasababu familia zao zote ziliongea na kuwekwa YouTube?. Acheni kufikiria kwa mrengo wa ukabila.

Kitendo cha Serikali yenu kukataa kutoa idadi kamili ya waliokufa au waliopotea, inatoa nafasi huru kwa mtu yoyote au chanzo chochote kutoa idadi yoyote ile bila kupingwa au kuwa" challenged ".
 
Leo umeongea point kidogo ,maana nilikua nampango wa kukurudisha kwenu, ngoja nivute subra kidogo
 
hao ndio familia 250...bwahahaaaa..wacha kuhaha ndugu yangu...eti haziezi wekwa zote...woooiiii...mitaani mbna hawajaomboleza km wale wa ET..hapa huruki...

zenye hazijaekwa umezijuaje wewe mdangayika...maskini..jamaa anatapatapa..yani yyy familia ambazo hazijalalamika youtube...

kw taarifa yako hao wa hapo youtube waliomboleza..lkn kuna wale ambao hawako youtube na hawajaomboleza..wako wapi joto la jiwe...

episode inaendelea tu...baada ya youtuube kuna wale ambao video zao hazikuwekwa..haya tuonyeshe zilipo
 
Hawa hapa wanaomboleza hawahapata miili ya wapendwa wao, onyesha ushahidi kama waliwapata na kuwazika
 
Hawa hapa wanaomboleza hawajawapata ndugu zao.
1) Nimekuwekea gazeti lililochapishwa tarehe 15/1/2019 linalosema kuna wanajeshi wengi bado hawajulikani walipa hadi sasa
2) Nimekuwekea video clip toka YouTube ambayo inaonyesha familia zikiomboleza kwa kukosa miili ya jamaa zao.

Nini tena unataka?
 
Hitimisho ni kuwa KDF ilipoteza askari 800 kwenye ambush ya al adde kibaya zaidi baadhi ya askari wa kdf walinajisiwa that why Google ikaona iwafichie aibu kwa kufuta picha za matukio poor KDF
 
Hitimisho ni kuwa KDF ilipoteza askari 800 kwenye ambush ya al adde kibaya zaidi baadhi ya askari wa kdf walinajisiwa that why Google ikaona iwafichie aibu kwa kufuta picha za matukio poor KDF
Nakuelewa sana. Lazima useme huu uongo wote ili usirejeshwe kwenu Rwanda kuuliwa na wahutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…