Wakenya : Mlituwekea kauzibe, Leo Mmesahau?

Hahahahaha acha kudanganyana, hiyo Csrtifiacte imeandikwa jina lake na atakwenda nayo NYUMBA, hiyo ni personal. JWTZ ilipowashinda M23 kule Congo, wanajeshi wote walipewa certificate na nishani (Medals) toka kwa UN, kwanini asipewe kiongozi wao pekee?, kwanini hao POLISI wa Kenya huko Somalia ambao wamekuwa recognized kiongozi wao hakupewa yeye pekee kwa jina lake?, wacha Maneno hayo, Better hiyo Certificate ingeandikwa KDF sio jina la MTU. KDF performs poorly in Somalia that's why nobody recognizes them.
 
Actually Uganda solders are the ones who are doing very good jobs in Somalia than any other army, that's why UPDF was recognized officially and were given medals each of them, acheni kujikweza ninyi wakenya, hakuna mganda anayesema kwamba wao ndio waliofanya kazi kubwa, hivi ninyi wakenya mnamatatizo gani?
 
Hahaha giant ? a giant who fails to feed her own people ? Youbare pne of the kind on the earth
even america has a problem with malnutrition, china has a huge poverty problem, does that mean they are not superpowers and giants in the world?
 
Ilo halina ubishi kbs ndugu yangu UPDF ndio walikomboa mji wa mogadishu na ndio ilikuwa battle kubwa kuukomboa huo mji na vita yake ilikuwa sio ya kupigana porini ni mjini kukomboa majengo marefu ambapo al shabaab walikuwa wamejicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…