Kenya 2022 Wakenya mmempata Magufuli mpya. Kudos sana!

Kenya 2022 Wakenya mmempata Magufuli mpya. Kudos sana!

Kenya 2022 General Election

goroko77

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2019
Posts
8,845
Reaction score
13,072
Kwa jins nilivyomuona na kwa muonekana wake na kauli zake tu Ni dhahiri shairi kuwa magufuli mwingine ameonekana Kenya. Siyo kwa kuongea kiswahil chake kama Cha Dr magufuli Hadi kucheka anacheka Kama ancle magu muda wote namtizam Kama Dr magaufuli tu.

Bas sas ndugu zangu Wakenya mjiandae kukimbia mchakamchaka Hadi muite maji mmaa nawaambieni yani huo ufisadi wenu utakwisha na kuzambaratishwa kabsa na Dr Williams ruto the real magufulication is on work," kidonda kimempta mkunaji.

Amesem ndani ya siku Mia moja atakayo kuwepo ofcn Cha kwanza kbsa Ni kulifumua jeshi lote la police la Kenya na kuuipa nguvu kubwa na kumuteua accounts officer wake mkuu mtendaji ambaye atapewa bajeti yake yote ili aweze kufanya Kaz zake kwa huru kubisa tofauti na ilivyo zamani kuwa unapewa bajeti na maelekezo kutoka ikulu kumkamata Nani na Nani asikamatwe Hilo kwake halipo atawachia maafisa wa [emoji61] Kazi zote hizo hvyo mafisadi mjiandaee kudaddeki namuona magufuli haki ya mungu [emoji23][emoji23]

Niwapongeze sana majaji wake haswa jaji mkuu kiongozi Martha kome k kwnza kwa kutojali aliyekuteuwa nafasi hyo ya ujaji mkuu.

Pia niwapongeze San kwa kuweka mfumo mzuri wa kimahakama iliyobora na uwazi kbsa barani Africa kwa kutoa hukumu kwa haki pasipo kuangalia sura ya mutu ni mahakama ambayo haikuwai kuwepo tokea Africa ipate uhuru wake kudos Sana my people ilove u all[emoji7]

Kam Dr Magufuli ajapoteza maisha yake Basi Tanzania ingekuwa donor country kbsa yaani [emoji23] sas nawona waKenya wanaenda kupaa Zaid kiuchumi na haita kamatika tena kwa kumpata jembe Kama Hilo la kutoka rift valley hakika mtakwenda mbali mnoo nawaona cc huku tz watendaji wakiiimizwa kula kwa urefu wa kamba zao na kuangaika kumiliki vilabu vya mpiraa what a shame [emoji6] kwa tozo zetu.

Wakenya mjiandae Kweli mtapiga hatua ila hakuna rangi mtaacha kuona for ten good years to came namtabirria kuwa ruto atakuw rais Bora kbsa kuwai kuwepo Africa ktka karne hi ya 21.

All the best H.E DR WILLIAM SAMUOE RUTO

Nawasilisha
+254759085507
 
Ogopa sana watu wanaotaja taja dini mbele za watu na kila jumapili wapo madhabahuni makanisani wakitoa neno

Hao wanatumia dini kuficha uovu wao nyuma ya pazia

Mtu wa dini watu watamuona tu sio mpaka ukae mbele ya kamera na kutaja taja dini

Maendeleo ya visasi na chuki hayo ni maendeleo ya vitu na sio watu

Ukijenga barabara huu unapoteza watu sasa nani apite kwenye hiyo barabara

Uongozi ni busara, hekima na utashi. Uongozi sio kuwakimbiza Raia kama wahamiaji haramu kwenye nchi yao

Uongozi sio kupora ardhi kwa Raia wenye haki

Uongozi ni kuunganisha nchi, Huyo Rutu watu wote wasiompigia kura amesema ni wapinzani na haamini Katika handshake bali wasiompigia kura waendelee kuwa wapinzani

Nchi haiongozwi kwa kufuata waliokuchagua, Wanasiasa wana vyama wananchi wao wanafuata upepo

Kenya ilishagawanyika kwenye uchaguzi nusu kwa nusu kwenye kura, Inabidi aunganishe Taifa asimuone Uhuru Kenyatta mjinga

Atakumbana na upinzani wa baadhi ya wananchi na maeneo lazima tu atakaa chini

Yeye anafikiria Rais ni Rais basi, Mkuu anaongoza watu

Nusu ya waliopiga kura hawamuamini kabisa
 
Back
Top Bottom